Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada jinsi ya kubadili namba ya simu kwenye account ya meridianbet
Nenda kwenye my a/c pale seeme pameandkwa pasonal data shuka mpaka kipengele cha mwisho utakuta namba zako zifute afu weka utakazopenda na kama unatumia mobile vision ibadili ili upate hayo mambo .....HAKIKISHA jina la usajili wa mpesa linaendana na jina unalotumia mpesa
 
Hii inaweza kuwa msaada mkubwa ... ngoja nitembelee nyota yao leo
Mara nyingi prediction websites ni agents wa Betting companies huwa siwaamini saana japo huwa wanapredict correct baadhi ya mechi....labda kwa mechi ambazo ni ngumu kupata taarifa zao hapo sawa kwa ligi kubwa taarifa ni rahisi zaidi...YOTE KWA YOTE LAZIMA ASAKWE KWA NJIA YOYOTE
 
Nenda kwenye my a/c pale seeme pameandkwa pasonal data shuka mpaka kipengele cha mwisho utakuta namba zako zifute afu weka utakazopenda na kama unatumia mobile vision ibadili ili upate hayo mambo .....HAKIKISHA jina la usajili wa mpesa linaendana na jina unalotumia mpesa
Poa mkuu ngoja nicheki inakuaje
 
3/3
0608 14-05 12:15 Norway-Sweden
Final Score2 1.15
0622 14-05 16:15 Russia-Switzerland
Final Score1 1.23
1353 14-05 16:30 Leverkusen-Ingolstatd 04
Final Score1 1.55

Total odd 2.19
 
Mkekabet unajiungaje maana nimeanza kuweka pesa kwenye ac yao ili nipate pin but mpaka now nna namba za simu,password sina.
Nenda play store download and install googe chrome.
2. Search mkekabet kwa link "m.mkekabet"
3. Jiregister
4. Fuata hatua .
Ukikwama piga mkekabet c.care 0676260553.
Nakutakia kila la heri rafiki
 
wazee wenzangu wa kuweka mizigo naomba leo mnipe upepo maana mechi nyingi za leo ni "friendly matches"...hadi nashindwa niweke options za aina gani hasa.
 
kabla ya kuweka pitia SOCCERVISTA ujirizishe kidogo maana jamaa wapo accurate 80% mimi wameshanipa pesa mara 3 mfululizo.
mkuu asante sana kwa taarifa hii muhimu sana...ndivyo tunavyotakiwa kushirikiana kutoana kimaisha. ubarikiwe sana.
 
Kuna pesa hapa mhindi kalengesha wacha niipitie asbh hii.
1. Manly Y
2. Hakoah 2+
3. Black town 1

Odds ni 4.4
Stake 600,000
Possible win M2. 3
Possible Loss 600,000
Probability of winning 81%
 
Cagliari (Italia seria B) - 1.89
Instanbul BB (Turkey super league) - 3.25
Arouca (Portugal Liga zon sagres) - 2.27

--------
Total odds = 13.94

Stake = TZS10,000/-
 
Kuna pesa hapa mhindi kalengesha wacha niipitie asbh hii.
1. Manly Y
2. Hakoah 2+
3. Black town 1

Odds ni 4.4
Stake 600,000/=
Possible win M2. 3
mkuu hiyo Y ina maana gani? draw au ushindi?
 
Kuna pesa hapa mhindi kalengesha wacha niipitie asbh hii.
1. Manly Y
2. Hakoah 2+
3. Black town 1

Odds ni 4.4
Stake 600,000
Possible win M2. 3
Possible Loss 600,000
Probability of winning 81%

Mkuu, hizi option ni za Mkeka bet?
 
Back
Top Bottom