Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,984
Angalia majibu yako nyuma ndani ya thread hiiMkuu, hizi option ni za Mkeka bet?
Angalia majibu yako nyuma ndani ya thread hiiMkuu, hizi option ni za Mkeka bet?
Kuna mdau mmoja Jana kasema muwe mnaangalia nyumamkuu hiyo Y ina maana gani? draw au ushindi?
cagliari hii game iko frexh kwel??Cagliari (Italia seria B) - 1.89
Instanbul BB (Turkey super league) - 3.25
Arouca (Portugal Liga zon sagres) - 2.27
--------
Total odds = 13.94
Stake = TZS10,000/-
vitu huwa n vle vle kila siku.Kuna mdau mmoja Jana kasema muwe mnaangalia nyuma
m bet hawana hizo timu cjui kwann??Mkuu, hizi option ni za Mkeka bet?
game ya werder bremen n ngumu sanaView attachment 347421
Hapo vp?
Kuna mdau mmoja Jana kasema muwe mnaangalia nyuma
Mechi ya Cagliari ni ya kuitazama Mara 2 maana hao Salernitana wako danger zone halafu Cagliari ni kama ameshafunga ofisiCagliari (Italia seria B) - 1.89
Instanbul BB (Turkey super league) - 3.25
Arouca (Portugal Liga zon sagres) - 2.27
--------
Total odds = 13.94
Stake = TZS10,000/-
m bet hawana hizo timu cjui kwann??
m bet hawana hizo timu cjui kwann??
Mechi ya Cagliari ni ya kuitazama Mara 2 maana hao Salernitana wako danger zone halafu Cagliari ni kama ameshafunga ofisi
huwa natumia kidogo kidogo ila n wabovu mbaya.Kwa nini mnawaendekeza mbet hao bado hawajajipanga wanafanya biashara kwa uwoga sana.mbet ni kwa wale wanaoanza kubet ukishajua kubet wahame.
hahahah .. all the best bro
game ya werder bremen n ngumu sana
Hasa huyo mangungo analalamika ovyo sjui katumwaNyie mnaolalamika M-bet hawawatumii hela msitufanye sisi ni watoto wadogo tena mjiheshimu sana hivi unaweza kubet halafu useme heti niliweka tot win sou win na hull win n.k kweli??? Halafu pia mi naona humu kuna watu mnajifunza kubet kwa mbet na hamjui hata kidogo unakuta mtu unacheza halafu huwatumii hela za dau uliloweka kwenye menyu ya m bet halafu unasubiria hela , huu ni uchizi na ukenge tu mi nilishawala mara kibao tu na pesa ikiwa inaanzia 5000 mpaka 150000 kufikia saa 7 au mwisho saa 8 unatumiwa pesa yako na kama ni chini ya 5000 mpaka 1500 watakutumia saa 1 usiku hela inakuwa tayari ishaingia.
Halafu kitu kingine msitegemee matokeo yao heti mpaka waya update kwenye menu yao ndo mhakiki we ingia Soccer Live Scores - powered by LiveScore.com hakiki mech ya tiket yako then ukijua umebugi piga kimya ukijua ume win subiria mavumba yako sio unacheza handcap halafu timu zinatoka suluhu heti unalaumu , unalamu nini sasa JUST MSITUHARIBIE MAMBO KWA M-BET TUKAKOSA HELA ZA BURE KWA MANENO YENU YA UCHONGANISHI.
Mfano juzi nimebet
HAPOEL NS WIN
CARDIF WIN
MILTON K D W
Nikaingia net usiku nikachek nikakuta mambo yameharibika kwa MKD nikapiga kimya wala sikujal sana.