Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Natafuta mtaji wa kulipia mikeka ya jioni.

Yaung lions vs Worriors Y
Stake 450,000/=
Faida 230,000

Mechi inaanza SAA nane na nusu
 
Tuchambue hapa wakuu....

Groningen win, gg
Fc Rostov. win
Asane win,2+
potsmouth. Gg
Stabaek draw
Jerv 2+
Ranhem. 2+, gg
Rosenberg. Win
Young boyz. Win
 
Sijawahi kucheza over under Leo nimempiga kanjibai Serbia under. Italy over
 
Tallinna Kalev - Maardu Linnameeskond
Bsc Young Boys - Fc St. Gallen
Start - Rosenborg
Aswan Sc - Al Ahly Cairo
Stjarnan - Throttur Reykjavik
Ia Akranes - Fjolnir
Groningen - Heracles

2+ kwa waoga, 3+ kwa majasiri.
 
Natafuta mtaji wa kulipia mikeka ya jioni.

Yaung lions vs Worriors Y
Stake 450,000/=
Faida 230,000

Mechi inaanza SAA nane na nusu

Bet won...
Wakusoma heshima kwakooo ila tatizo kwenye dau unaweka kubwa sana sisi wenye moyo mdogo tunaweza kufa
 
Natafuta mtaji wa kulipia mikeka ya jioni.

Yaung lions vs Worriors Y
Stake 450,000/=
Faida 230,000

Mechi inaanza SAA nane na nusu
Bet won. Kama kuna aliyenifuata hata kwa kuweka elfu kumi tu amepata elfu sita mia nane lunch hiyo
 
Bet won...
Wakusoma heshima kwakooo ila tatizo kwenye dau unaweka kubwa sana sisi wenye moyo mdogo tunaweza kufa
Usitishwe na dau mkuu Kama uliweka elfu kumi umepata faida buku sits sio mbaya.

Lkn kumbuka bet kamari ya pata potea na mm kuna Sikh mambo yanakuwa hovyo unakuta nimenuna mpaka majirani wanajua huyu Leo VP?
 
Back
Top Bottom