sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,741
Leo ndo nimeweka hela kwa Mara ya kwanza superbet. Makato yao ni balaa ukiweka buku unalatwa jero[emoji36] mhudumu mwenyewe ukipiga anapokea kama mtu Ana haraka anaenda kuoga. Dem flani IV msela msela tuu. Wanakupa code flani iv na serior namba unaenda kwenye A/c yako kuna sehemu unaingiza vocha inaingia. Anyway kwenye options wako vizuri, odd wanazo nzuri aisee ukiamua kuwanyoosha utawanyoosha kweli.Hata me nmeiskia hyo nadhani jamaa wanahaha baada ya kunyooshwa watoe tu hzo pesa