Sunderland vs Everton 2+
Stake 500,000/=
Huku ni zaid ya kujilipuaSunderland vs Everton 2+
Stake 500,000/=
nooomaa sanaSunderland vs Everton 2+
Stake 500,000/=
Bet wonUFA 2+
Krasnador 2+
Mordoviya 2+
Panions 2+
Hapa fresh ...
Sunderland - 1.81
Midtylland - 1.38
Horsens - 2.20
Rubin - 2.20
-------------------------
Total Odds = 12.09
Stake = 10,000/-
Haha teyar za uxooDah kwenye mikeka yangu hata sijui kimetokea nini naona maaandishi mekundu sio uale ya kijani[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji35] [emoji125] [emoji125]
ahaha mapemaaDah kwenye mikeka yangu hata sijui kimetokea nini naona maaandishi mekundu sio uale ya kijani[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji35] [emoji125] [emoji125]
Acha kabisa mkuuahaha mapemaa
Hongera kamanda ...
Hata me nmeiskia hyo nadhani jamaa wanahaha baada ya kunyooshwa watoe tu hzo pesaNimeona kwenye taarifa ya habari Clouds TV..kuna mtu kashinda mil 160 Supabets alafu hawataki kumpa wanamwambia ODDS zilibadilishwa kwahiyo hawawezi kumpa Anadai chake
Mi mwenyewe Rubin kaninyoosha nilikua na mechi10 7 zimeshatiki Rubin kaharibu ata zilizobaki hazina kazi tenaRubin & Horsens mmeninyooosha ...🙁
Nasikia wamenyooshwa kweli kweli yaani sio MTU mmoja...na wangine wamepigaHata me nmeiskia hyo nadhani jamaa wanahaha baada ya kunyooshwa watoe tu hzo pesa
Izo odds si waliweka wenyew naskia wanasema watawalipa ila pungufu supabet wameanza uhuniNasikia wamenyooshwa kweli kweli yaani sio MTU mmoja...na wangine wamepiga