Buddy kaweka mkeka wa timu 30 zinazoweza kutoa +2 chagua humoJaman naombeni mnisaidie timu znazotoa 2+ leo
CelticTusaidiane kumtafuta mchawi kwenye hizi..
Victoria pzen
Krasnodar
Zurich
Liverpool
Celtic
Sunderland
Norwich
Shaktar
PSG
All to win
Hata psg cmuaminCeltic
everton 2 sunderland 1.......Bro, ushindi wa Everton leo ni draw na si vinginevyo. Hivi umewaangalia Sunderland hivi karibuni?? wanacheza jihadi mwanzo mwisho. Lakini chochote kwenye football kinaweza kutokea, kuna kupigwa redcard, kupata penalty etc ...
Ila kumpa Everton ... mmh
Hiyo Everton mbona mnamlazimisha ishinde...nadhani magoli kwa mechi hiyo ni sawia...Sunderland ni must win game kwahiyo possibly watafanya kila wawezalo...wakati Everton ni kama ligi imeisha kwao hawana cha kupotezaeverton 2 sunderland 1.......
Mkuu hapo cheza magol,hao sanderland lazima washinde.Unakumbuka alivyomkimbiza Chelsea juzi?wakuu leo mimi najilipua hivi:
everton
liverpool
norwich
ALL TO WIN
ushauri wenu tafadhali. hizi point 5 za everton zimenivutia. ina maana kweli everton wamekuwa vibonde hivi?
thanks sana mkuu atleast muhind anaweza kugeuzwa churaa...
okHiyo Everton mbona mnamlazimisha ishinde...nadhani magoli kwa mechi hiyo ni sawia...Sunderland ni must win game kwahiyo possibly watafanya kila wawezalo...wakati Everton ni kama ligi imeisha kwao hawana cha kupoteza
na everton pia hatakubali kibonde asishuke daraja mbele yake....hii ni kama fainali.Iko hivi mkuu kama Sunderland akishinda leo basi atakua amejibakikishia kua hata shuka daraja msimu huu ugumu wa mechi uko hapo
mkuu psg anatafuta sifa na ana timu nzuri...mimi namuamini.Hata psg cmuamin
ni kweli kumpa everton kunahitaji uwe na roho ya paka but still anything can happen...everton ni timu nzuri ila kushuka daraja kwa sunderland kutafanya mechi iwe ngumu kama jiwe.Bro, ushindi wa Everton leo ni draw na si vinginevyo. Hivi umewaangalia Sunderland hivi karibuni?? wanacheza jihadi mwanzo mwisho. Lakini chochote kwenye football kinaweza kutokea, kuna kupigwa redcard, kupata penalty etc ...
Ila kumpa Everton ... mmh
Vp lakn ziko poa ? hua zinakutoa.?mie huwa natumia hii ku predict
Football Predictions | Today Forebet Mathematical Free Tips
wanajitaidi kiasi japo za uso hazikwepekiVp lakn ziko poa ? hua zinakutoa.?