Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahaha ... iga ufeee !! wengine ukiona stake 50,000/- ujue ni buku dasi (5,000/-). We hushangai kutoona mkeka unarushwa humu, wanarusha maneno tu ambayo hata ww unaweza kuyaandika ... teh teh teh
Ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Cagliari (Italia seria B) - 1.89
Instanbul BB (Turkey super league) - 3.25
Arouca (Portugal Liga zon sagres) - 2.27

--------
Total odds = 13.94

Stake = TZS10,000/-



Bet is lost ...🙁🙁

Daah, Arouca hata wewee !!!!!
Huu mchezo kweli hauhitaji hasira. Siku ya kufa nyani miti yote hakika huteleza. Kinachoniudhi mimi ni kushindwa kupatia hata timu 5 kati ya mamia ya mechi zilizocheza leo ... damn!! huu ukilaza sijui utaisha lini, yani out of 300+ games played I cannot predict 5 games right??????

OK, ngoja niandae mikeka ya kesho.
 
80% nahisi lyon wamepanga matokeo, haiwezekani wafungwe goal zote zile na team iliyopoteza match 4 mfululizo. Yani italia na ufaransa kwa kamali sijui wataacha lini
 
Kweli hii ni bahati nasibu.


Inabidi nicheke tu ingawa hayachekeshi.Safari ya toka 2:45 imeishia ukingoni..Lorient vs Ajaccio.
 

Attachments

  • upload_2016-5-15_0-8-20.png
    upload_2016-5-15_0-8-20.png
    3.7 KB · Views: 40
Back
Top Bottom