Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Liverpool
Tottenham
Villarreal
Man city
Tottenham
Villarreal
Man city
Sijui kwanini sunderland kapewa point nying hivyo wakat mechi za mwisho hizi yuko moto vibaya...au mhindi anataka tumuogope kumfuata?? ila mkuu liver anaweza kuharibu mkeka hapo ila lolote linaweza tokeaStrictly EPL ...
Man Utd - 1.34
Southampton - 1.33
Sunderland - 4.30
Liverpool - 2.50
------
Total odds = 19.16
stake = 10,000/-
Liverpool
Tottenham
Villarreal
Sijui kwanini sunderland kapewa point nying hivyo wakat mechi za mwisho hizi yuko moto vibaya...au mhindi anataka tumuogope kumfuata?? ila mkuu liver anaweza kuharibu mkeka hapo ila lolote linaweza tokea
[emoji45] [emoji45] [emoji57] [emoji19]Wadau Nina jambo limeniudhi sana jana nilibet timu 13 nikaweka tsh 500 na timu zote nilizobashiri zikashinda leo mbet wananiandiakia mkeka wangu ni invalid wananirudishia 500 kwa kweli nimeshangaa na pesa niliyotakiwa kushinda ni tsh 585,867
nani kakudanganya Chelsea ni mbovu?Watu hawabet kiuhalisia toka moyoni .Watu wanabet kutokana na mapenzi ya timu zao mtu anaona kabisa timu yake haina uwezo wa kufunga lakini yuko radhi atoe hela yake hata ikipotea ni sawa tu hiyo sio maana halisi ya kubet ni kupoteza muda tuweke ushabiki pembeni kwanza .mfano unajua kabisa chelsea na simba ni mbovu lakini bado unabeti nazo maajabu namba 8.
Mkuu itakuwa uli submit wakat mechi moja au zote zimeanza, mfano katika mkeka wako kuna mechi inaanza 13:00 ww uka submit saa 12:59 ule muda unaotumia Ku load pale so inakuwa saa 13:00 ishafika ndo huwa inatokea hali kama hiyo mkeka unakuwa submitted lakin uki win au uki lose wanakurudishia pesa ako. Nenda sehem ya terms na conditions kasome utagundua vitu vingi sana huenda pia kosa lisiwe hilo lakin ukisoma terms and conditions utaona tu wapi umekosea.Wadau Nina jambo limeniudhi sana jana nilibet timu 13 nikaweka tsh 500 na timu zote nilizobashiri zikashinda leo mbet wananiandiakia mkeka wangu ni invalid wananirudishia 500 kwa kweli nimeshangaa na pesa niliyotakiwa kushinda ni tsh 585,867
NakufuataLiverpool
Tottenham
Villarreal
Man city
Hahahaha ... daaah, hapo ukute kuna mdau mwingine analisubiri hilo goli jingine. Mungu wetu ana kazi kubwa sana !!
Zenit ni maandaziMan city win, palermo win, Malaga win, arsenal win, zenit 2 win, maelekezo wadau kabla sijaweka cha teni.
Man city win, palermo win, Malaga win, arsenal win, zenit 2 win, maelekezo wadau kabla sijaweka cha teni.
kuna mtu humu aliwahi kumgonga milioni tano hivi hivi kwa buku usikate tamaa mkuu
swansea amekua na kiwango kizuri kwa siku za karibuni na Man City sio tmu ya kuaminikaSijui kwa nini, ila napata hisia leo Swansea anaweza fanya yake ndani ya Liberty Stadium ...
Mbet sio Watu wazuri malipo yanachelewa afu simu hawapokei kwa wakati in fact siwez kutumia company Yao huku Kuna company kibao naumwa !!??Ninajiandas kuwashtaki Mbet huu ni utapeli mbona mikeka mingine niliyoshindwa wamenikata hela kama kawaida. Nimeanza kukata tamaa na hawa mbet.
Mbet sio Watu wazuri malipo yanachelewa afu simu hawapokei kwa wakati in fact siwez kutumia company Yao huku Kuna company kibao naumwa !!??