Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,284
Wale mnao wabetia muwapige Sana mpaka wafilisike kabisa warudi kwao Baniani.Mbet wanaliwa sana ndo maana wanachelewesha malipo
Wale mnao wabetia muwapige Sana mpaka wafilisike kabisa warudi kwao Baniani.Mbet wanaliwa sana ndo maana wanachelewesha malipo
Msimamiziiii ....yule kwenye kofia ya kijani anaigiliziaaaaKubet ni shida kuna jamaa anasema jamaa zake ofisini hawafanyi kazi kwa umakini siku ya mechi tangu asubuhi ni kubet tu.Hili linaweza kuwa janga lingine kwenye uchumi wetu siku zijazoView attachment 347773
Wadau Nina jambo limeniudhi sana jana nilibet timu 13 nikaweka tsh 500 na timu zote nilizobashiri zikashinda leo mbet wananiandiakia mkeka wangu ni invalid wananirudishia 500 kwa kweli nimeshangaa na pesa niliyotakiwa kushinda ni tsh 585,867
Hapo sijui imekaaje! But M-bet kiwango cha chini cha kuweka Dau ni 1000 Tshs....
Sasa sijui ilikuwaje Bet yako ikakubaliwa! Anyway, wapigie uwaelekeze, Hata kama kosa limebaki kwao..Waambie, hata kama hiko hivyo, Why the Ticket was accepted!!??[emoji134]
Pole mkuu, ni mahela mengi hayo.
wallet unanzia jero ila tigo pesa ndio unanzia bukuHapo sijui imekaaje! But M-bet kiwango cha chini cha kuweka Dau ni 1000 Tshs....
Sasa sijui ilikuwaje Bet yako ikakubaliwa! Anyway, wapigie uwaelekeze, Hata kama kosa limebaki kwao..Waambie, hata kama hiko hivyo, Why the Ticket was accepted!!??[emoji134]
Pole mkuu, ni mahela mengi hayo.
machida kaliwa 1 dakka ya 80+Ya sadaka asbh hii.
1. Machida vs Giravaz 1
2.Cerezo vs Renofa 2+
3. Jef vs Roasso U3.5
4. Thespa vs Yokohama U3.5
Odds 3.45
Stake 300,000/=
Possible win 960,000/=
Nb: kopi michezo usikopi stake
Mkuu itakuwa uli submit wakat mechi moja au zote zimeanza, mfano katika mkeka wako kuna mechi inaanza 13:00 ww uka submit saa 12:59 ule muda unaotumia Ku load pale so inakuwa saa 13:00 ishafika ndo huwa inatokea hali kama hiyo mkeka unakuwa submitted lakin uki win au uki lose wanakurudishia pesa ako. Nenda sehem ya terms na conditions kasome utagundua vitu vingi sana huenda pia kosa lisiwe hilo lakin ukisoma terms and conditions utaona tu wapi umekosea.
Udinese kimeoUdinese 2.28
Lanus 2.74
S.Gijon 1.41
Man u 1.39
Man city 1.51
R.Vallecano 1.32
Getafe 1.67
Sporting CP 1.42
West ham 2.12
Fenerbahce 1.32
Besiktas 1.46
Zenit 1.41
ALL TO WIN NORMAL
Odds kwa hisani ya
M bet
kama ukiweka hela online wanakubali jero mkuuHapo sijui imekaaje! But M-bet kiwango cha chini cha kuweka Dau ni 1000 Tshs....
Sasa sijui ilikuwaje Bet yako ikakubaliwa! Anyway, wapigie uwaelekeze, Hata kama kosa limebaki kwao..Waambie, hata kama hiko hivyo, Why the Ticket was accepted!!??[emoji134]
Pole mkuu, ni mahela mengi hayo.
Mkuu kiwango cha chini km hauna account yao ndio 1000, ila km una account ni 500
Mkuu Mbet via wallet wanakubali hadi jero.Hapo sijui imekaaje! But M-bet kiwango cha chini cha kuweka Dau ni 1000 Tshs....
Sasa sijui ilikuwaje Bet yako ikakubaliwa! Anyway, wapigie uwaelekeze, Hata kama kosa limebaki kwao..Waambie, hata kama hiko hivyo, Why the Ticket was accepted!!??[emoji134]
Pole mkuu, ni mahela mengi hayo.
Mkuu Mbet via wallet wanakubali hadi jero.
nani kakudanganya Chelsea ni mbovu?
Na mm nafuata upepoNakufuata