Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Liwalo na liwe
 

Attachments

  • 1409079098456.jpg
    1409079098456.jpg
    49.8 KB · Views: 67
Nilitegemea mpaka muda huu magoli yangekua kama mvua kumbe wapi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
***** walahi manyuu washaogeshwa bao moja na timu ya daraja la ngapi sijui, capital one cup
 
Mtanipa matokeo nakwenda kulala
 

Attachments

  • 1409081687305.jpg
    1409081687305.jpg
    22.2 KB · Views: 74
Mkuu hizi ni habari njema, sasa mie nacheki price ya man utd kushinda 90' ikiwa nzuri najitupa
mkuu naangalia huu mpira live, manyuu kushinda hii gemu ngumu, manyuu wanachezewa utafikiri na wenyewe ni daraja la chini, labda gg, au mupe manyuu to score next/another goal , au weka over 2.5 , manyuu wameweka kikosi cha pili sijui kama majembe akina rooney wataingia
 
mm najilaumu tu sikumpa crystal palace na swansea, tayari wameshafunga mahesabu, kila mmoja walikuwa na odds za 2.1
 
Ila bado mambo magumu watoto wanakomaa kusawazisha.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Dk 62 manyuu wapigwa la pili, walahi kama vile utani

62" MK DONs 2 - 0 MAN U
 
Hawa ------- wamepanga matokeo si bure man u
Goli la tatu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom