Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,422
- 8,735
Hiyo option ina maana ganiHii mechi ya Millwall Vs Bradford niliiweka bahati mbaya kumbe inachezwa Leo. Hapa naisubiri hii tu nimpige mhindi M3. Kwa walionifuata mikeka mitatu yote Jana tumekula hela
Timu zote zicheke na nyavuHiyo option ina maana gani
Options za premier zinanisumbua kinyama mtoto wa inz,.. nisaidie opts kama 2+, scoring both halves, na nyingine za kijanjaNshafungua account premier betting ...bado kudeposit..... Ngoja niikague nione kutoa ni mpaka betshop au laa....ila wako vizuri kwa option zaidi ya meridian..... Meridian ana option mpaka 38 huyu mpuuzi ana option mpaka 80....mamaaae
Kutoa unatoa kwa tigo pesa wanasema ndan ya masaa 24 ila hayafik juz nilitoa saa tano usiku kesho yake saa 6 mchana nkwawa na mpungaNshafungua account premier betting ...bado kudeposit..... Ngoja niikague nione kutoa ni mpaka betshop au laa....ila wako vizuri kwa option zaidi ya meridian..... Meridian ana option mpaka 38 huyu mpuuzi ana option mpaka 80....mamaaae
2+ndio hiyo over 1.5,Options za premier zinanisumbua kinyama mtoto wa inz,.. nisaidie opts kama 2+, scoring both halves, na nyingine za kijanja
unatumia namba gani ya kampuni kudeposit through Voda na Tigo?Kutoa unatoa kwa tigo pesa wanasema ndan ya masaa 24 ila hayafik juz nilitoa saa tano usiku kesho yake saa 6 mchana nkwawa na mpunga
[emoji83] [emoji83] [emoji35] [emoji35]Huyu mchawiii
Tigo namba ya kampuni ni 500700 ila ref number mpaka u log in kwe account yako ndio wanakupatia ukiclick kwe depositunatumia namba gani ya kampuni kudeposit through Voda na Tigo?
Oyoooooooo hayo ndo mambo sasaNaona premier bet karahisisha Deposit sasa Tigo pesa na M pesaView attachment 349107
scoring both halvesOptions za premier zinanisumbua kinyama mtoto wa inz,.. nisaidie opts kama 2+, scoring both halves, na nyingine za kijanja
Nlikuwa na account nkawa naiangaliaga tuu sasa naona wamesikia kilio changu nlichokuwa nagugumiaNshafungua account premier betting ...bado kudeposit..... Ngoja niikague nione kutoa ni mpaka betshop au laa....ila wako vizuri kwa option zaidi ya meridian..... Meridian ana option mpaka 38 huyu mpuuzi ana option mpaka 80....mamaaae
Naona ipo ki web version au nyie kwenye simu zenu mnaionaje hii primierbet ya online..?Ila ile option ya sare ndani ya dkka 10 ...nzuri sana ina odds za 1.15,1.13.... Ukikusanya timu 8.... Unapoint 3 freeesh.....
hiyo ni nzurii meridian first goal time inachangamoto nyingi sanaIla ile option ya sare ndani ya dkka 10 ...nzuri sana ina odds za 1.15,1.13.... Ukikusanya timu 8.... Unapoint 3 freeesh.....
hapo unatia huge stake. unazima simu baada ya robo saa unawasha kucheki mrejesho.Ila ile option ya sare ndani ya dkka 10 ...nzuri sana ina odds za 1.15,1.13.... Ukikusanya timu 8.... Unapoint 3 freeesh.....
m pesa kuweka/deposit inakuwajeeoptions