Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah kanjibahi anabana hadi show ndogondogo kama hizi
 
Attachments

  • 1463685600407.jpg
    1463685600407.jpg
    69.5 KB · Views: 47
Ndo maana nimesema hapo juu kua sijawai toa hela kwa mpesa afu ikaja kwenye simu yangu....namaanisha nilikua najaribu kutoa lakini haiji unasubiri siku 3 ukiwapigia wanairudisha kwenye meridian online account yako...ila ukienda kwenye bet shops dakika 0 tu unachkua hela yako unaondoka....Sjawai kutoka kwa mpesa kama miezi sita sasa labda kama wamebadilika
yawezekana namba ya simu uliyoiweka kuna namba umeikosea lakn kama alikufungulia mtu mwngne na kutoa kwa simu inaanzia 10000
 
yawezekana namba ya simu uliyoiweka kuna namba umeikosea lakn kama alikufungulia mtu mwngne na kutoa kwa simu inaanzia 10000

Kwa hiyo ndugu, Unamaanisha chini ya 10,000/= Meridian hutoa hela kwa M-pesa!!

Ok, If so..I got your point, nitajaribu kutoa zaidi nione...

Coz na mimi nilikuwa nashangaa, how this happen........Najipinda kutoa,lkn waapi! Na namba ni ile ile iliyoisajili.

Thanks, and will try.
 
ATLETICO NACIONAL (COL)

4.09 LOSE
VITORIA 8.66 LOSE
JUAN AURICH 4.25 LOSE
BOTAFOGO 1.19 WIN
 
hivi hawa mkeka hii bonus wanampa nani mbona hawajumlishii kweny payout
 
Mia tano zileeeeeee[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Naona premier bet karahisisha Deposit sasa Tigo pesa na M pesa
1463717733893.jpg
 
Kwa hiyo ndugu, Unamaanisha chini ya 10,000/= Meridian hutoa hela kwa M-pesa!!

Ok, If so..I got your point, nitajaribu kutoa zaidi nione...

Coz na mimi nilikuwa nashangaa, how this happen........Najipinda kutoa,lkn waapi! Na namba ni ile ile iliyoisajili.

Thanks, and will try.

Mimi mwenyew nilikua nikitoa inazingua....but nikawapigia wakaniambia nitoe kuanzia 10000..before ilikua uki withdraw unasubir kwa masaa 24...lakn nw wameboresha kwani juzi nimesubir kwa masaa saba mpunga ukaingia kwenye cm yangu
 
Masaa 7....!!!![emoji22]........Inabidi waige mfano wa wenzao Mkeka bet.
Haifiki hata Dakika 10 mpunga huuuuo,Hahahhahahahahhahahahahhahahahah
 
mkekabet ndio wako speed hata dakika 2 hua hazifk wamesha kutumia hela yako, wako vzur
Option zao ndo sizielew kama meridian japo wanachelewesha ila wanaeleweka kirahis mkeka bet ni nzur kwa normal na kuwaisha pesa
 
Back
Top Bottom