666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,710
- 4,046
Wakuu nafanyaje hapa.
majuzi nlishinda mkeka wangu nliofunga wa meridian 3+ timu ya mwisho ilikua man u, sasa niko mkoani huku mbali kidogo kikawaida waga na betia kwenye pc tu kwa web ya meridian, sasa nimefanya kuhamisha pesa yote nliyoshinda kwenda kwenye m pesa lakini mpaka sasa hivi siku ya pili leo sijaipata hio pesa.
nimejaribu kuwapigia meridian sijapata msaada wowote, kila saa wanasema waniunganishe na watu wa m pesa lakini wananikatia simu, aisee roho inaniuma sana hasa ukizingatia mkeka nlivyoufunga na namna matokeo yalivyokua yananitaabisha, mpaka sasa sijajua nafanya nini na pesa hio ni laki na 40.
roho inaniuma sana na sijuhi nafanyaje sasa.