Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapoel Katamon vs Hapoel Ashkelon
Bet: Y
Odds: 1.77

Walsall vs Barnsley
Bet: X2
Odds: 1.52

Odds:2.69

Wenye mitaji kazi kwenu.
 
Wakuu nataka kuweka single Bet ya EURO niwape GERMAN ubingwa kabla Odds hazijapolomoka hivi Meridian wana hyo Option?
 
Double bet ipo hivi Chief ...

1X - Ashinde wa nyumbani au mechi iishe draw
12 - Ashinde yeyote, wa nyumbani au wa ugenini. Mechi isiishe draw
X2 - Mechi iishe draw au ashinde wa ugenini.

Hope nimesomeka.
Hiyo ni mkeka au meridian mkuu?
 
Najaribu kudandia basi /
Nimenunua line ya voda nataka nianze ku- test zari kwa mkeka bet /
how I can start?
which amount can I bet at lowest ?
and so n so help pls.
Uzi ulianzishwa bila pre- Info's for new players.
SORRY IF I DISRUPT MOTIONS.
 
Mkeka bet...Deposite M-pesa atleast 250 Tshs....

Menu ya Mpesa> Lipa Bili> Namba ya Kamapuni 238844> Kumbu No 123458>

After that, Subiria response yao ya kukutumia PIN number ambayo utakuwa unangilia....
 
Kutoa kwa bet shops ndo uhakika zaidi...mimi ni mtumiaji mzuri wa meridian ila sjawai toa ela kwa m pesa alafu ikaja....we skilizia ilo salio likirudi katoe tu kwenye betshops zao..systems za mpesa za meridian bado haziko effective
kaka nikuulize ushawah kutoa hela kwa account yako ya mpesa huko nyuma saaa hz meridian to mpesa inachukua nasaa 10
 
kaka nikuulize ushawah kutoa hela kwa account yako ya mpesa huko nyuma saaa hz meridian to mpesa inachukua nasaa 10

Ndo maana nimesema hapo juu kua sijawai toa hela kwa mpesa afu ikaja kwenye simu yangu....namaanisha nilikua najaribu kutoa lakini haiji unasubiri siku 3 ukiwapigia wanairudisha kwenye meridian online account yako...ila ukienda kwenye bet shops dakika 0 tu unachkua hela yako unaondoka....Sjawai kutoka kwa mpesa kama miezi sita sasa labda kama wamebadilika
 
Djungebeg WIN
Fenabache WIN
Genk Both to score
Club bruge win
Botafogo Win
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] here I come....
 
Back
Top Bottom