Nilitegemea mpaka muda huu magoli yangekua kama mvua kumbe wapi
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
***** walahi manyuu washaogeshwa bao moja na timu ya daraja la ngapi sijui, capital one cup
mkuu naangalia huu mpira live, manyuu kushinda hii gemu ngumu, manyuu wanachezewa utafikiri na wenyewe ni daraja la chini, labda gg, au mupe manyuu to score next/another goal , au weka over 2.5 , manyuu wameweka kikosi cha pili sijui kama majembe akina rooney wataingiaMkuu hizi ni habari njema, sasa mie nacheki price ya man utd kushinda 90' ikiwa nzuri najitupa
mkuu b4 kubet uwe unaangalia na kikosi cha siku hiyo....west ham na man u ni sheeeeda
sent from my blackberry 9860 using jamiiforums
Wamegongwa la pili ***** zao
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums