Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kaka hata mm nagongesha miamba kinoma, jana same thing mpk nimesita kurusha mikeka yangu.

Nitakupitia tukaoge maji ya bahari [emoji23][emoji23][emoji23]

Nipitie aiseh,nahitaji kucheka na nyavu na sio kugonga miamba.
 
Mkuu nkisha click nkiweka # nisave inapotea ama kifupi nkishaisave nkirudi kuselect vodacom ili kuweka hela naambiwa hamna namba inayohusiana na malipo nayofanya nifanyeje pls[emoji19]
 
nimefungua account na kusoma hizo procedures tu mkuu bado sija attempt ku deposit
 
Mkuu nkisha click nkiweka # nisave inapotea ama kifupi nkishaisave nkirudi kuselect vodacom ili kuweka hela naambiwa hamna namba inayohusiana na malipo nayofanya nifanyeje pls[emoji19]
fungua acc mpya mie nilipata hilo tatizo bt nimefungua mpya ni bata tuu now
 
Vip uki deposit kwa mpsea inachukua mda gan kusoma kwenye a/c maana imechukua zaid ya dk 10 sasa au nimepoteza
 
PRI umeweza kuiset hio namba mkuu?
Aisee imezingua tu ...kila nikiweka no inaonesha error...nimejaribu kutuma kahela kadogo cha majaribio kwenye Id no yangu na no ya kampuni naona kama nimepoteza. ..
 
[emoji45] [emoji45]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…