Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
disappointmentAisee imezingua tu ...kila nikiweka no inaonesha error...nimejaribu kutuma kahela kadogo cha majaribio kwenye Id no yangu na no ya kampuni naona kama nimepoteza. ..
disappointmentAisee imezingua tu ...kila nikiweka no inaonesha error...nimejaribu kutuma kahela kadogo cha majaribio kwenye Id no yangu na no ya kampuni naona kama nimepoteza. ..
Kaka siku ukipata mda utupe darsa hua unafanyaje uchambuzi wako mpaka kumpiga kiasi hiki uyu jamaaHungary Y, HIFK Y, Laht Y
Both teams scoreWakusoma nielekeze maana ya y
Daaah baada ya ubusy leo ckuweza kutupia. Hebu ngoja niingie chimbo nitafute hela ya ticket ya show ya Ne-Yo & Diamond - Mwanza
Haaa haaa, sawa mkuu tafuta ya ticket c utuwekee ya nauli
umeshatupia mkuu we kibokoMnaangaliaje kama mkekaunapumua Premier betting aisee?
Hapana kaka hata mm mbona huwa napigwa?Kaka siku ukipata mda utupe darsa hua unafanyaje uchambuzi wako mpaka kumpiga kiasi hiki uyu jamaa
Buddy hela ya kurepair gari imekosekana?Daaah baada ya ubusy leo ckuweza kutupia. Hebu ngoja niingie chimbo nitafute hela ya ticket ya show ya Ne-Yo & Diamond - Mwanza
umekosea mkuu usitumie id #yako ku deposit , ingia katika website nenda kwenye option ya deposit voda au tigo kisha watakupa namba za kumbukumbu utazitumia ku depositVip uki deposit kwa mpsea inachukua mda gan kusoma kwenye a/c maana imechukua zaid ya dk 10 sasa au nimepoteza
Mim mbona nimetupia hela premier kwa m-pesa lakin sijaiona had sasa lisaa limepita sasaMnaangaliaje kama mkekaunapumua Premier betting aisee?
Uuuu imepotea hio,sasa hizo no wanakupea wapiii sijaziona aiseeeumekosea mkuu usitumie id #yako ku deposit , ingia katika website nenda kwenye option ya deposit voda au tigo kisha watakupa namba za kumbukumbu utazitumia ku deposit
Buddy hela ya kurepair gari imekosekana?
Ni kama hiviMnaangaliaje kama mkekaunapumua Premier betting aisee?
Nashukulu mkuuBoth teams score