Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona premier betting inakataa kwenye namba ya simu kila nikijaribu kuweka tofauti inagoma
 
Mbona premier betting inakataa kwenye namba ya simu kila nikijaribu kuweka tofauti inagoma
we mama uwe unaweka mikeka humu nasikia mnabahati sana


ila yupo mwenzako anajiita sijui cute b alishakimbia jukwaa
 
Mkeka A.
1. Kashiwa 2+
2. Sagan Tosu 2+
3. Jeannam 2+
4. Croydon U5
5. Campbeltown U5

Tuone kama chai tunakunywa sisi au anakunywa mhindi

Mkeka B.
1. Jubilo 2+
2. Sagan Tosu 2+
3. Kashiwa 2+
 
Daaah baada ya ubusy leo ckuweza kutupia. Hebu ngoja niingie chimbo nitafute hela ya ticket ya show ya Ne-Yo & Diamond - Mwanza


Ya ticket imepatikana ... na maji ya kunywa juu.

upload_2016-5-21_8-30-56.png
 
Mkeka A.
1. Kashiwa 2+
2. Sagan Tosu 2+
3. Jeannam 2+
4. Croydon U5
5. Campbeltown U5

Tuone kama chai tunakunywa sisi au anakunywa mhindi

Mkeka B.
1. Jubilo 2+
2. Sagan Tosu 2+
3. Kashiwa 2+
nikufuate.
 
Bet hint:

Chagua timu chache kutoka ligi zifuatazo za Germany af weka 3+ ... hapa hutakosa ya kahawa jioni. Mechi zinaanza saa 8 na dk 45 na nyingine saa 9 alasiri.

  • Regionalliga Bayern
  • Regionalliga Nord
  • Regionalliga Nordost
  • Regionalliga West
  • Regionalliga Sudwest
 
Wakuuu kudeposit hela kwenye premier bet inachukua mda gani ionekane kwenye account? maana nimedeposit saa 9:16Am hadi sasa haijaonekana na sms ya mpesa nishaipata.
 
Premier betting bhna et kudeposit fasta tu hata dk2 haifiki
Kutoa sasa mmmmhhh nime wdraw saa saba jana mchana hadi sahv kmya
 
Mmmhhh huyu wa kusoma ni kiboko

Sasa kanunue simu uwe unaweka screenshot mkuu
 
Premier betting bhna et kudeposit fasta tu hata dk2 haifiki
Kutoa sasa mmmmhhh nime wdraw saa saba jana mchana hadi sahv kmya
Mbona me nimedeposit saa tatu na dakika kumi na sita asubuhi hii hadi sasa haijaonekana kwenye account yangu?
 
Back
Top Bottom