Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaahahaahahahahahah, mkuu unapenda vya Ziaada!!!! Hahahahahaha

Bonus huwa unapewa pale tu unaposhinda,na tena ukiwa umeweka timu kuanzia TANO(Atleast).

Hahahaha! All the best mkuu.
Twende Kazi, hadi Muhindi aombe poooo,Hahaha.
pamoja sana mkuu. nimezoea nikibet kwenye bet shop bonus inasoma kwenye mkeka ila nkibet mtandaoni siioni, nikajua haipo.
 
Hata mimi kwenye password nmechemka mkuu ! Kila password nkieka inasema ni weak ! Mwenye kujua atusaidie
mkuu, kama inakataa kila password, weka hata paragraph nzima...kama bado itazidi kukataa basi itakuwa imerogwa.
 
ImageUploadedByJamiiForums1463835007.496324.jpg
 
Kwa upande wa password usiandike maneno tu,changanya na namba mfano "chagua150bongo" ,Sema mm nakumbana na problem ya sehemu ya months na security guestions kutodisplay,sijui ni uwezo mdogo wa mchina wangu au vipi,mwenye kulijua hili anipe mwongozo plz ili nami nikamilishe registration.
 
Jamani naombeni mwenye namba za simu za premierbet anipatie niwapigie coz kwenye email no response, nimedeposit hela kwenye account toka saa tatu asubuhi hadi sasa haijasoma kwenye account na nimefuata taratibu zote za kudeposit.
 
Utakuwa umekosea sehemu, mbona mie nimeweka muda si mrefu haikuchukua hata 10 seconds?
 
Back
Top Bottom