Afande Fojuman
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 657
- 548
man u anataka kuarib sheree yang aisee
Polee mkuu Man U sio timu ya kuwekea helaMan Utd nae ni ms****ge, kanikosesha 400K 😡😡😡😡
NImekupataHapo ni bet won
hongeraa aisee![]()
Amekaaaaaa...... Boooom
Vp hapo ungeweka elf 10 leo ingekuwa habali nyinginehongeraa aisee
Soma posts za nyuma yeshaelezwa, mnatuchosha sasa jamani, kanjubai atuumize vichwa na nyie mtuumize vichwa kwa kuuliza kitu kilekile kila siku...aaarggghhhIvi yunaangalia vip mkek on premierbet online
umeanza vibaya kwa kumchangia soon nitakuja na solution we andaa stake tu mkuu kuna ka option kamoja ka ajabu sana kana kuwa na od ya 1.05 hivyo kwa timu kumi unaeza pata odd 2.05 ukitia 50000 una kama 102500 tax excluded![]()
Sina hamu..
Nasubiri mkuu..balaa tupu.umeanza vibaya kwa kumchangia soon nitakuja na solution we andaa stake tu mkuu kuna ka option kamoja ka ajabu sana kana kuwa na od ya 1.05 hivyo kwa timu kumi unaeza pata odd 2.05 ukitia 50000 una kama 102500 tax excluded
HIZO NI ODD ZA UHAKIKA NARUDIA TENA ZA UHAKIKA. WAIT.....
Jamani naombeni mwenye namba za simu za premierbet anipatie niwapigie coz kwenye email no response, nimedeposit hela kwenye account toka saa tatu asubuhi hadi sasa haijasoma kwenye account na nimefuata taratibu zote za kudeposit.
pole nduguhawa new york city na mwenzake new york red bull ni pumbavu kabisa.... mkeka wa timu 12 magoli yasifike ma5 (under 4.5) wameua wao, na mkeka wa timu hizohizo 12 sare ndani ya dakika 10 wameua tena wao....khaaaaaaaaaaaaaa......