Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mnaonaje wadau tukianzisha na group la whatsupp n maoni tu.
Mmerudi tena watu wa wassap....humu kila siku watu wanatupia mkeka yakutosha...walianzisha wengine huko nadhani walirudi kimyakimya
 
Second periority
Barcelona win
Gent win
Sogndal win
San lorenzo win
Godoy cruz win
 
BET WON
Last night kuna mwana alitupia mkeka mechi za BASEBALL, aliweka tim 14... nikachukua zangu 6 nitest zali
ashukuriwe jamaa
sijajua mkeka wake umeendeleaje but nimegundua huku nako kuna pesa inavoonekana ila sasa lazma uzijue timu vzr teh teh
 

Attachments

  • Screenshot - 5_22_2016 , 10_31_55 AM.jpg
    Screenshot - 5_22_2016 , 10_31_55 AM.jpg
    49.8 KB · Views: 34
chris1 tupia basi hata mkeka mmoja wa china tukufuate maana mie muhindi kanikamua vyakutosha.


daaah mwana nimechelewa kdg lakin nimetoka hivi
bado tunakuza mtaji
jah bless
 

Attachments

  • Screenshot - 5_22_2016 , 10_37_04 AM.jpg
    Screenshot - 5_22_2016 , 10_37_04 AM.jpg
    27.1 KB · Views: 37
MAKOROKOCHO
14/14]
1222 22-05 02:15:00 Houston-Texas
Total Points[8.5] < 2.10
1221 21-05 23:10:00 NY Mets-Milwaukee
Total Points[7.5] < 1.72
1292 22-05 02:15:00 Miami Marlins-Washingt
Total Points[7.5] < 1.65
1214 21-05 23:05:00 St. Louis-Arizona
Total Points[8.5] > 2.00
1332 22-05 12:00:00 Yakult-Yokohama
Total Points[7.5] < 1.90
1331 22-05 08:00:00 Nippon HF-Rakuten
Total Points[7.5] < 1.80
1322 22-05 07:00:00 Seibu-Fukuoka
Total Points[7.5] < 1.80
1187 22-05 00:00:00 Mexico-Saltillo
Total Points[11.5] > 1.75
1500 22-05 01:05:00 Monterrey-Broncos de R
Total Points[9.5] > 1.85
2040 22-05 05:05:00 Toros de Tijuana-Aguas
Total Points[10.5] > 1.85
1212 21-05 23:05:00 Pittsburgh-Colorado
Total Points[7.5] < 2.00
1220 21-05 23:10:00 Detroit-Tampa Bay
Total Points[8.5] > 1.75
1317 22-05 05:05:00 LA Angels-Baltimore
Total Points[8.5] > 1.90
1318 22-05 05:10:00 San Diego-LA Dodgers
Total Points[7.5] > 1.90
------------------------------------------
Total: 1800.00
------------------------------------------
Total odd: 5552.86
Min win: 5000000.00
Min tax: 899676.00
Max win: 9995155.37
Max tax: 1798803.97
Max payout: 8196351.41
Combination count: 1



Hapa nilichukua timu 6 zimenipa mtaji wa leo thanx
 
wachawi wanatufilisi hawa. jana nilikomaa na timu za USA nikapatia zote, kaja kuharibu mpumbavu mmoja wa peru akasuluhu.
 
Buddy nn tena kamanda. bila shaka ni Renofa yamaguchi tu.


Kaka leo asbh sikutupia, nliwahi misa ya kwanza. Hiyo mikeka ya jana, ndo nmefika naiangalia nakutana na hao washenzi (wachawi) ... wanakera kinoma. Sasa mtu anamaliza mechi na goli 2-0 au 1-1, na mm nataka magoli ma3. Daaaah

Ngoja niingie chimbo tena, hakuna kukata tamaa mpk hela zetu ziling'ang'ania kwa Kanjibah zirudi.#Hatukomi
 
Leviski Sofia (Bulgaria) - WIN
Club Brugge (Belgium) - WIN
Barcelona (Spain) - WIN
Aab Aalborg (Denmark) - WIN
Anderlecht (Belgium) - WIN
Young Boys (Swirtzland) - GG
Glasshoppers (Switzerland) - 2+
Gent (Belgium) - 2+
Botosani (Romania) - 2+
Daaah eeeh bwana huu mkeka naufata kama ulivyo
 

Kaka leo asbh sikutupia, nliwahi misa ya kwanza. Hiyo mikeka ya jana, ndo nmefika naiangalia nakutana na hao washenzi (wachawi) ... wanakera kinoma. Sasa mtu anamaliza mechi na goli 2-0 au 1-1, na mm nataka magoli ma3. Daaaah

Ngoja niingie chimbo tena, hakuna kukata tamaa mpk hela zetu ziling'ang'ania kwa Kanjibah zirudi.#Hatukomi
Tupia over za Leo mkuu...

Cc,budy
 
Leviski Sofia (Bulgaria) - WIN
Club Brugge (Belgium) - WIN
Barcelona (Spain) - WIN
Aab Aalborg (Denmark) - WIN
Anderlecht (Belgium) - WIN
Young Boys (Swirtzland) - GG
Glasshoppers (Switzerland) - 2+
Gent (Belgium) - 2+
Botosani (Romania) - 2+
mkuu, hapo kwa levski na aalbog nina wasiwasi napo...levsk hana cha kupoteza hata akifungwa (hii ni kama friendly match). mechi ya aalbog ni ngumu kutabiri ushindi wa moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom