100 100 mkuu, ngoja nikufuate nile KINYESI.Fuata nyuki ule asali au fuata nzi ule kinyesi
Siku utakapoanza kuweka timu 3-5 utakuwa unakula hela nyingi sana.
Kaka leo asbh sikutupia, nliwahi misa ya kwanza. Hiyo mikeka ya jana, ndo nmefika naiangalia nakutana na hao washenzi (wachawi) ... wanakera kinoma. Sasa mtu anamaliza mechi na goli 2-0 au 1-1, na mm nataka magoli ma3. Daaaah
Ngoja niingie chimbo tena, hakuna kukata tamaa mpk hela zetu ziling'ang'ania kwa Kanjibah zirudi.#Hatukomi
It just hit the right post,what a miss!Gaaadem ... 😡😡
View attachment 349799
Siku utakapoanza kuweka timu 3-5 utakuwa unakula hela nyingi sana.
Hakuna MTU humu ndani ana tabiri uhakika kama Buddy
Tupia over za Leo mkuu...
Cc,budy
Unajiungaje premierbt online mkuuIvi yunaangalia vip mkek on premierbet online
Am on,cut and paste yaani siachi hata nukta.Hero de Mmar, chagua chache hapa ... au km unataka tufe wote, basi twenzetu ... (nimetoka na jumla ya timu 11 baada ya kuingia chimbo la mda mfupi)
View attachment 349812
Waliofuata hapa jana poleni sana,mchawi wetu alikuwa huyo mwekundu.Junior Win
Fc Lausanne-sport Win
Mamelodi Sundowns Win
Ik Sirius Win
Krasnodar Win
Shanghai Sipg Fc Win
Molde Win
Stake:10,000/=
Return:98,361/=
M-Bet.
#Hatukomi
CC: Buddy
Mi nimechomoka na hizi..Hero de Mmar, chagua chache hapa ... au km unataka tufe wote, basi twenzetu ... (nimetoka na jumla ya timu 11 baada ya kuingia chimbo la mda mfupi)
View attachment 349812
Am on,cut and paste yaani siachi hata nukta.
#Hatukomi
Mi nimechomoka na hizi..
Orebro
Djugarden
Grasshopper
Ranheim
Asane
Kfum
All gg
Ngoja nijaribu
1. Zaragoza 2+
2.Degraafschap 2+
3. Randers 2+
4. A a Gent 2+
Odds 2.3
Stake 450,000/=
Return 910,000/=
Buddy punguza idadi ya timu ongeza stake. We si unaona unavyomkosakosa kila siku?All the best Chief ...
Daaa, si unaona stake zako sasa ... hahahah, sie bado tupo kuanzia 500 - 10,000/- tukitoka hapo tunaenda 20,000 - 50,000/- etc