Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

daah, Wa Kusoma ttzo mtaji wa kujilipua ... noma sana. Ukiona Root, Wa Kusoma, Econometrician, Complex na wengineo mmejilipua na 500K ujue mna mitaji ya zaidi ya 800K au 1m kbs
Sure.... Ni sichezagi timu pungufu ya 15..... Kwa buku nafukua 50 - 100.….. .. Lakini nakosa timu 1 au 2..... Kipindi sikuwa na majukumu ki hivi kulikua natia mzigo.... Siku hizi nacheza for fun .... Koz kwanza nimeacha tungi. ... Nimeacha michepuko.... Nimetulia na ndoa.... Na wife anaijua hizi bizness..... Solo nlikua naweza poteza hata 50 to 100 .... Without feeling it...coz nlikua man alone... Sasa nna make mtoto na Dada wakazi na wadogo... So siezi bet the wager I used to...... Am just digesting for u guys..... I'll be back in bizness soon.... U won't regret being here...... Salute kwrnu wote ma INVESTORS
🙂😉
 
upload_2016-5-22_14-8-43.png


Mawindo yanaendelea.
#hatukomi.
 
Midtjyland anaenda kuchana mkeka muhimu sana nilimpa double chance ila naona anaenda kuchana huu mkeka
 
Back
Top Bottom