=GG ~ 95%na kama kutakuwa na magoli bac baselona ndo aongoza kipindi cha kwanza kipindi cha pili senilla atarudisha yote.
ahahahaha mkuu huo mwandiko wa simu au?Mpira si uishe tu[emoji28][emoji28]
Leo mhindi kaweka hela nyingi sana. Poleni sana wadau. Mimi nimeenda likizo mpaka june
Kweli kaka hapa ndio naona umhimu wa stake ndogo hasa ukiliwa
Grasshopper, Genk, Gent, Zaragoza, Vaduz, wamemtajirisha Kanjibah leo ...
HaifungukiLEO NIMEAANDAA HIYO MIKEKA UCKU HUU ALAFU NALALA ZANGU NTAICHEKI ASUBUHI
haya sasa majanga! wakuu, kuna aliyesalia na mkeka wowote mpaka sa hz? mm ndio namalizia kuchana wa mwisho...yote 5 imechanika bila shuruti.
bila kumsahau mtukufu barcelonaπππGrasshopper, Genk, Gent, Zaragoza, Vaduz, wamemtajirisha Kanjibah leo ...
bila kumsahau mtukufu barcelonaπππ