Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

yaaniiii
 

Attachments

  • asee.png
    asee.png
    26.4 KB · Views: 35
mmmh hapo total odds zilikua kama ngapi mkuu?
Zilikuwa 4.46....... Nimezipata za semina nkatia 25.... Nifukuzie 110000..... Nkasema siangaliii mpaka asubuhi..... Uuuuwiiiiii..... Corinthians wamevuka 4.5
 
Zilikuwa 4.46....... Nimezipata za semina nkatia 25.... Nifukuzie 110000..... Nkasema siangaliii mpaka asubuhi..... Uuuuwiiiiii..... Corinthians wamevuka 4.5
Pole sana mkuu, usikate tamaa ndio ukubwa huo.
 
4/4
2773 23-05 21:30 Nurnberg-E. Frankfurt
Total Goals2+ 1.27
2621 23-05 20:00 Gefle-A I K
Double Bet ++X2&2+ 1.45
2623 23-05 20:00 Malmo-Falkenbergs
Under/Over 3+ 1.45
0391 23-05 20:30 Halmstad-Dalkurd
Total Goals0-3 1.22

Total odd3.26
 
Lipa kupitia m-pesa dau lolote kuanzia 250, namba ya kampuni 238844 , kumbukumbu namba 123458 halaf subiri watakutumia password number baada ya hapo utakua una sign in kwa namba yako ya cm na iyo password.
Hata mimi nilinunua kine ya voda jana nikadeposite mpaka sasa sijatumiwa sms yoyote.
 
Usisubiri sms, kama umeweka dakika kumi zimepita we jaribu kubet utaona unafanikiwa, wanatatizo la kuchelewa kuonyesha pesa kwenye akaunt lakin inakua ishaingia
nimejaribu kubet nikaweka game tatu. Sikuona sehemu ya kusubmit slip.
d27a992e01ec52c077bd98d16af0bc03.jpg
 
Back
Top Bottom