Mkoa na wilaya zake.... Asante Magufuli... Umelelewa na ushirika.... Umesomeshwa na Ushirika... Ukafanya kazi Ushirika.... Unajua umuhimu wa ushirika..... Waliokuachia wote ni Mkapa tu ndie aliyejaribu kurudisha Ushirika.... Huezi amini miaka yangu 7 ya utumishi wa umma..... Nimehudhuria semina hazizidi 10... Ndani ya hizo 3 ....ni ndani ya utawala wa Magu..... Na kupitia makosa ya Mkapa. .. Kikwete akaunda Tume ya Maendeleo ya Ushirika .... .. Na wewe Magu unaendeleza..... Tuwezeshe tukomboe wananchi. .. Kila sekta ina kikundi iwe Afya,elimu,uvuvi,mifugo,misitu,nyuki,ngozi, na kadhalika wote ni vikundi..... Vyote kwa ujumla ni ushirika.....
Msemo wetu:
Ushirikaaaaaaaaaaaa
Pamoja tujenge Uchumi.....
NB: nje ya Uzi .... Ningeweza post huko ila nimeamua kupost huku napo muwe na uelewa wa ushirika. ... Kwa maswali zaidi ya ushirika kanuni miundi na sheria....njoo inbox...thanx