Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
daaah mkekabet ni the BEST kwa kuwithdraw, yani dk 5 nyingi udambwi dambwi ushaingia fasi ya m-pesa. Mi meridianbet naitumia nkiwa sina haraka na hela. Lakini nikifulia nacheza mkekabet ili nikishinda nivute fasta, yani dizain zile "andaa ugali naleta mboga ... "
Upo sawa mkuu, inabidi nifate utaratibu wako.
Hahahahhaha "Andaa Ugali naleta Mboga".....
