poa kamandaawakubwa....... niaje humu? @wazee wa mikeka!!!..........
Haya, wenye roho ngumu ... twenzetuni.
Volgar Astrakhan‐Anzhi - I0G (2.50) .... pia II> ni option nzr hapa
Kuban‐Tomsk - GG (1.96)
Parnu‐Paide - 2 (1.52)
Mohun Bagan‐Tampines - II > (1.92)
Winterthur‐Xamax - GG (1.51)
-----------
Total odds = 21.59
[emoji35] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] yaani wachawi wanabana mpaka mwisho
Leo nlikuwa na mikeka mi2 ... na yote nimeshaangukia pua. Usiku mwema wanajamvi ... ngoja tuone kesho tutajipangaje.
View attachment 350675
[emoji35] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] yaani wachawi wanabana mpaka mwisho
Jaribu option hiii mkuu japo ina odds chache ila ka kama una mtaji naona inaweza kutufaa kwa kiasi fulaniacha kabisa, nimemrudishia mhindi buku 7 zake nlizomla jana ... hahahahah
Huu mchezo hauhitaji jazba ... teh teh teh
Hapo nilikuwa ktk majaribio ili kuielewa vizuri hiyo option nisije nikawalisha tango pori. Nikaona kitu kimejipaJaribu option hiii mkuu japo ina odds chache ila ka kama una mtaji naona inaweza kutufaa kwa kiasi fulani
Ipo kwenye correct score ambapo utachagua ile correct score ya pili(kwenye premier betting) kisha unaselect option inaitwa Other.
Ikimaanisha matokeo yawe tofauti na ile orodha waliyo weka wao
Kama hujanielewa vizuri ni vyema ukatembelea option husika. Ili kuijua vizuri
Jaribu option hiii mkuu japo ina odds chache ila ka kama una mtaji naona inaweza kutufaa kwa kiasi fulani
Ipo kwenye correct score ambapo utachagua ile correct score ya pili(kwenye premier betting) kisha unaselect option inaitwa Other.
Ikimaanisha matokeo yawe tofauti na ile orodha waliyo weka wao
Kama hujanielewa vizuri ni vyema ukatembelea option husika. Ili kuijua vizuri
acha kabisa, nimemrudishia mhindi buku 7 zake nlizomla jana ... hahahahah
Huu mchezo hauhitaji jazba ... teh teh teh
Hiyo tim nam amenialibia mkekaaseeee.............. huu mchezo hautaki hasira
timu uliyoicheza ikitoa sare mechi inatolewa kwenye mkeka, ikishinda inahesabiwa ikifungwa inahesabiwa piaHiv hii opt ya Draw no Bet...... Iko vip wadau
DNB