Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jana nilikataa kulala bila hela, nkajikopesha 10 la kutupia nipate kamtaji ... nmeamka asbh hii kumbe waBrazil wamenipa aseee (nlicheza magoli tu)... mtaji umepatikana. Ngoja nikapate supu kwanza ...
 

Attachments

  • upload_2016-5-25_8-27-47.png
    upload_2016-5-25_8-27-47.png
    10.8 KB · Views: 39
Jana nilikataa kulala bila hela, nkajikopesha 10 la kutupia nipate kamtaji ... nmeamka asbh hii kumbe waBrazil wamenipa aseee (nlicheza magoli tu)... mtaji umepatikana. Ngoja nikapate supu kwanza ...
Kumbuka kulipa deni
 
Kumbuka kulipa deni


Hahaha, nimeshalipa kaka ...

Aisee mkekabet kutoa hela hawa jamaa wametishaa sn. Nimeitoa saa 8:58am na imeingia kwenye m-pesa saa 9:00am, yaani ni kusema ndani ya dakika 2 mpunga umepatikana na mambo mengine yanaendelea.
 
Jana nilikataa kulala bila hela, nkajikopesha 10 la kutupia nipate kamtaji ... nmeamka asbh hii kumbe waBrazil wamenipa aseee (nlicheza magoli tu)... mtaji umepatikana. Ngoja nikapate supu kwanza ...
Buddy soon utaanza kucheza elfu 50
 
1Y - wa nyumbani ashinde, na timu zote zifungane e.g 2-1, 3-2, 4-1 etc

XY - mechi iishe draw na timu zote zifungane e.g 1-1, 2-2, 3-3 etc

1N - wa nyumbani ashinde lakini timu nyingine isifunge e.g 1-0, 2-0, 3-0 etc

2Y - wa ugenini ashinde na timu zote zifungane e.g 1-2, 1-3, 2-4 etc

2N - wa ugenini ashinde na timu nyingine isifunge e.g 0-1, 0-2, 0-3 etc

Hope nimesomeka

Umesomeka mkuu tupo pamoja
 
Hahaha, nimeshalipa kaka ...

Aisee mkekabet kutoa hela hawa jamaa wametishaa sn. Nimeitoa saa 8:58am na imeingia kwenye m-pesa saa 9:00am, yaani ni kusema ndani ya dakika 2 mpunga umepatikana na mambo mengine yanaendelea.
Mkeka bet wazuri sema hawana Tim nyingi, na pia za mchangani chache sana
 
There is no number associated with this payment method, please register
Premier betting hao nikiregister namba bado Inaniletea hiyo error msg. ..nahitaji msaada
 
jamani naona hata hii poshomtaji itaisha..... kila siku nakosa timu moja siku ya3 mfulululizo.......



Hahahah ... "poshomtaji", daaah wachawi na namna hiyo wanakera sana, bora ktk mkeka ukosee timu zaidi ya 3 unajua hili lilikuwa "fungu la kukosa"
 
buddy odds 2 Nahitaj ase nimechoka kuliwa.


Allan248, option ya kwanza hii hapa mkuu (total odds 2.59) ... ngoja nilete option #2 ya magoli tu.
  • Wednesday 25. May 13:00
    Kashima Antlers vs Jubilo Iwata
    Over/Under Full time 1.5
    Bet: O
    Odds: 1.20
  • Wednesday 25. May 13:00
    Kawasaki Frontale vs Vegalta Sendai
    Over/Under Full time 1.5
    Bet: O
    Odds: 1.29
  • Wednesday 25. May 13:00
    Vissel Kobe vs Nagoya Grampus Eight
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.67
 
Back
Top Bottom