Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahaha, Chris41 kwani unacopy na kupaste, huwa haubadili kidogo? ... nimeshatupia mikeka yangu naiskizia mkuu. Ila nimetegesha huu hapa chini, incase hiyo ya mwanzo ikizingua namalizia na huu kwa stake ya 15,000/- (odds 5.37) ...

  • Wednesday 25. May 21:30
    Basel vs Grasshoppers Zürich
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.91
  • Wednesday 25. May 21:30
    FC Luzern vs FC Sion
    Match Result Full Time
    Bet: 1
    Odds: 1.98
  • Wednesday 25. May 21:30
    FC Lugano vs FC St Gallen
    Both Teams to Score
    Bet: Y
    Odds: 1.42



Kubadilisha mawazo ya mtu ni kosa kubwa sana
me mtaji umekata natia 2000 tuanze upya
 
Hizi hapa ... ukiziotea 4 ukawapa 3+ ukatia 10, hukosi 50,000/- ya bia bariiidi baadae


 
Inachukua muda gani kufanya registration na mkeka bet, coz kwa maelezo wameandika pale unatuma pesa then automatically utakua umejiunga baada ya wao kukutumia log in code
 
upload_2016-5-25_16-59-52.png


Biashara haisomeki kabisa ila ndo hivyo tena. #healthyaddiction
 
Back
Top Bottom