Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba msaada jinsi ya kuweka pesa meridian betting
ingia menu ya mpesa utainguia namba 4 kisha tena namba 4 kisha utaingiza namba ya kampuni ambayo ni 170066 kisha utaingiza namba ya kumbukumb ya malipo ambayo ndio account namba yako ya meridianbet ambayo huwa inaonekana ukishaingia kwny accaunti yako ya meridian ukigusa pale kwenye email yako huwa wameandika account no utaingiza hiyo kisha ytaweka kias na kuthbitisha
 
Pamoja mkuu ... allen248 alitaka odds 2 za haraka haraka ... option ya kwanza ilikuwa na odds 2.59 na option #2 ilikuwa na odds 2.72
gggg.png
thanks buddy
 
Hii friend mechi ya Romania Vs Congo DRC nataka niwape kila timu ipate goli niweke stake kali. Ushauri wenu plz
 
Nimeamua kufanya hivi wadau
Romania Vs Congo DRC Y
Odds 2.65 imenivutia sana.

Nimeweka stake ndogo tu elfu 80
 
Again
1. Sk Polten win
2. Fc Wacker innsbruck U5
3. Austria Lustern U5
4. Fc Liefering U5
5. Kapfenbergersv Win

Odds 3.6
Nimetia laki
 
Back
Top Bottom