Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tumbo lingekua joto mana jamaa karudisha 90', but mwisho wa siku rahaaVp kama ningeweka laki nane?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tumbo lingekua joto mana jamaa karudisha 90', but mwisho wa siku rahaaVp kama ningeweka laki nane?
kaniboa mbaya anyway mchezo hauhitaj hasira.Jana Basel kamalizia mtaji wangu
Halafu sikuweka hivyo yani..kanjibhai huyu.Rosenborg
Valerenga
vissel Kobe
Sandefjord
Skn st polten
Sarpsborg 08
Serbia
Kashima antlers
All win
Tumia IENatumia PC nashindwa ku placebet Mkekabet nikibonyeza hai function chochote pale palipoandikwa placebet wazoefu wanielewshe
tangu liini au sangapi?Wakuu nimetoa hela kwenye premiet bet bado hazija fika naomba mwenye namba ya premier bet anitumie
hapo nimtoe nani jamani ili nitupie 5000.
CORINTHIANS vs PONTE PRETA both will score
CSMS IASI vs FC BOTOSANI DRAW 45"
HJK HELSINKI vs HIFK both will score & HJK HELSINKI win normal
AZERBAIJAN vs ANDORRA Both will score.
Hapo hela ipo ila wataalam muijadili tuikeje hiyo.
Natumia PC nashindwa ku placebet Mkekabet nikibonyeza hai function chochote pale palipoandikwa placebet wazoefu wanielewshe
Basel sio wa kumfuata normal cheza magoli anapoint nyingi sana hata akipigwa hawa wanaomfuata hawampat tayar bingwaJana Basel kamalizia mtaji wangu
Hapa nipo nama nimeona hivyo mkuuHelsinki
Alaves
Corinthians
Internacional
Azerbaijan
Paok
WIN.
ok, ngoja nitest broLogin kwa mobile version ya mkekabet (m.mkekabet.com) ukitumia PC version (.mkekabet.com) inasumbua
nami ilokuwa saa 12 mpaka sasa hazijafikatangu liini au sangapi?
mimi nimewithdraw leo sakumi na moia asubuhi nataka nione zitaingia sangapu bado nasubiri.
IE ndo nn Mkuu mbna cipat iyoTumia IE
Unamaanisha internet explorer ok nshakuelwa shukraniIE ndo nn Mkuu mbna cipat iyo
Tumia IE
ndio mkuu, Google Chrome & Mozila Firefox zinasumbua kwenye mkekabet ..Unamaanisha internet explorer ok nshakuelwa shukrani