Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya msiningushe ....msifikishe goli 5 jamani nipate hata hako ka 49000 jamani....tuoneane huruma jamani mshanipiga laki siku3.....
 

Attachments

  • Screenshot_2016-05-25-20-23-23.png
    Screenshot_2016-05-25-20-23-23.png
    33.6 KB · Views: 53
Scandinavian countries ligi zao ni shidaaaa...... Yeyote anapigwa..... Huku ni double chance au magoli ..... Au upuuuzi "wangu"..... Nachukua over/under kubwa kabisa nawekea under.... Kama Leo nimewekea under 4.5 timu 21 zimebaki 6..... Haina stress 10 kwa 49..... Tungoje tuone
Mitimu ya finland bana dah buku ten yangu hiyooo
 
Mmeona usenge wa Bari..... Kafika goli 5,.. Kama Si UK**** .... Ni nini!!???,..,, jamani nimepigwa 120000 siku 4.,,,. Nnatema .... Tukutane copa na euro.
 
Fc Basel umetiiiiiiiiiiiiisha saaaaana[emoji22][emoji24][emoji24][emoji25][emoji25][emoji29][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji107]
 
Hiyo tim balaa ameninyima hela mkeka miwili
 

Attachments

  • Screenshot_2016-05-26-06-08-32.png
    Screenshot_2016-05-26-06-08-32.png
    35 KB · Views: 48
  • Screenshot_2016-05-26-06-07-39.png
    Screenshot_2016-05-26-06-07-39.png
    33.5 KB · Views: 49
Miwili nimeshindwa miwili nmepata mtaji
 

Attachments

  • Screenshot_2016-05-26-06-16-40.png
    Screenshot_2016-05-26-06-16-40.png
    35 KB · Views: 46
  • Screenshot_2016-05-26-06-16-07.png
    Screenshot_2016-05-26-06-16-07.png
    35.6 KB · Views: 44
Back
Top Bottom