Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daah leo premier bet wamegoma kabisa kuweka match, cjui wameona tunapigwa sana
hahahaaaa wame deactivate zoe bt jana zlikuwepo na nilibetia kbisa na wameninyoosha kama kawaida
 
buddy kwa kuchangany options upo juu huwa unafatilia au unaweka tuu maana huwa unapiga mulemule ..unatumia tips ipi kugandamizia mkalii



Hahaha ... nina uzoefu mkubwa sn wa kupigwa na kanjibah ... mi nikipigwa huwa natumia walau dk 2 kupitia mikeka iliyochanika na kuchukua somo kdg. Halafu kuna baadhi ya timu unakuwa umezifuatilia kwa muda mrefu somehow unakuwa unajua trend zake ...

All in all ni kubahatisha tu, hakuna lolote.
 
aiyaa wee. uzembe kazini umenikuta leo. kumbe wale ukraine ni U21 daah. washachana tayari.
 
anayefahamu anisaidie haya... kuusu premier bet
1.kiasi cha juu cha stake ktk mkeka
2.kias cha juu cha kushinda kwa mkekaa
ninachojuajua timu nyng ktk mkeka mmoja ni 21
 
hahahahaaa....daah upo vizurii hua naangalia mikeka unayo weka na kujiuliza uliwaza nini ddaa ila hcho ni kipaji mzeir sio bure
 
kama watanipiga ban wanipige tu **** LA MAMAAAKO ENGLAND...KUMAAAAA..... HUWEZI NIULIA MKEKA WA 200,000 UMEBAKI PEKE YAKO BOTH TEAM TO SCORE NKAWEKA NO....UNAFUNGWA JIONI UMEBAKI PEKE YAKO ..... KUMAAAAMAAKO
 
kama watanipiga ban wanipige tu **** LA MAMAAAKO ENGLAND...KUMAAAAA..... HUWEZI NIULIA MKEKA WA 200,000 UMEBAKI PEKE YAKO BOTH TEAM TO SCORE NKAWEKA NO....UNAFUNGWA JIONI UMEBAKI PEKE YAKO ..... KUMAAAAMAAKO
[emoji5] [emoji5] [emoji27] [emoji40] [emoji40]
 
ANZI
CROATIA
CZECH
MORROCO
TOGO
NA WEWEE MPUMBAVU ENGLAND.... NILIKUWA NAAMKANA MILIONI 3 **** WEWE
 
Duuu ya moto bendi usiache kubeti ukiliwa beti tuu hata ukiliwa tena bet tyu kwani huwezi kumliza kanjibay bila kubett
 
cheza ili u win uki lose usikate tamaa cheza tena uki lose cheza tena uki lose
cheza ili u win uki lose usikate tamaa cheza tena uki lose cheza tena uki lose cheza tena uki lose cheza tena uki lose cheza tena uki lose cheza tena uki lose cheza tena uki lose cheza tena uki lose uki win unaacha kabisa coz hela yako imerud
where do the suicidal ideation comes from,dont hate the players hate the game....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…