Buddy
Nina kamtaji leo naomba msaada wa odd 2 za mapema,nataka nibadili mfumo wa mchezo.
Nimechoka kupaki basi sasa najiachia..
Sorry Buddy nilikuwa tight na kazi nimeona msaada wako wakati game zishaanza.Feel free to share again if any..duh nimepishana na hela hapo maana Rochdale tayari wana 2 goals before halftime.Upendodaima, ningekuwa mimi ningecheza hivi ...
Australia - Brisbane Premier League:
--------------------
- Saturday 28. May 12:00
North Pine vs Peninsula Power
Over/Under Half time 1.5
Bet: O
Odds: 1.68- Saturday 28. May 11:30
Rochedale Rovers vs Capalaba Bulldogs
Over/Under Full time 2.5
Bet: O
Odds: 1.37- Saturday 28. May 12:00
Eastern Suburbs vs Mitchelton
Over/Under Full time 2.5
Bet: O
Odds: 1.36
Total odds = 3.13
Hizo both team to score ya mbetDarim
Ki ukweli hzo option hata sizion vizuri,hebu fanya kuziandika utume kwa maandishi,maana nahc ka kuna Neema hapo
Pesa yote hiyo mechi hizo tu?Leo natoka hivyoooo
Jamani anaye tumia premier bet mbona tim hazionekani kwanini
Nikajua kwangu tuuiko na shiida mkuu sio kwakoo tuu
Itakua kwenu 2 mm kwang zpooNikajua kwangu tuu
buddy ndugu yangu nataka niweke 50 nipate kama 120 nichekie hapo kabla sijajilipua. both team will score
silkeborg vs verje.
lyngby vs fredericia
lahti vs ps 35
nataka timu tatu tu kama kunazingine nimesahau niwekee ili nikiwashe.
Itakua kwenu 2 mm kwang zpoo