Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huuu mchezo unaweza kumfanya mtu kichaa! Mshahara wote wa mwezi huu nimemfanyia kazi mhindi. Mimi betting basi, Kwa herini mbaki salama
mbona na wewe ulimpga sana muhind mkuu, mie mwenyewe nanyooshwa daily leo nmeweka timu 2 tuu over 1.5 nayo wakaniuwaa daah...!! beting inahtaj moyo mguumu hasa ktk phase ya kuliwa
 
  • Thanks
Reactions: DLS
mbona na wewe ulimpga sana muhind mkuu, mie mwenyewe nanyooshwa daily leo nmeweka timu 2 tuu over 1.5 nayo wakaniuwaa daah...!! beting inahtaj moyo mguumu hasa ktk phase ya kuliwa
Ni kweli nilikuwa namla vizuri tu, lkn alichonifanya hivi karibuni hasa hii wiki sitakisahau. Nimeliwa zaidi ya 3m sina hamu kabisa
 
mbona na wewe ulimpga sana muhind mkuu, mie mwenyewe nanyooshwa daily leo nmeweka timu 2 tuu over 1.5 nayo wakaniuwaa daah...!! beting inahtaj moyo mguumu hasa ktk phase ya kuliwa
upload_2016-5-28_18-3-18.png


Hata mimi nimejaribu kupunguza timu hivyo leo lakini bado nimeangukia pua,mikeka yote chali bado huo chini hapo tu.

upload_2016-5-28_18-5-3.png
 
Hahaha ... mkuu na mm huwa naangukia pua km kawaida. Ila sio kesi ... ukitoka hivi, presha inakuwa ndogo.

  • Saturday 28. May 17:00
    Jonkopings Södra vs GIF Sundsvall
    Over/Under Full time 1.5
    Bet: O
    Odds: 1.24
  • Saturday 28. May 17:00
    Ostersunds vs Malmö FF
    Over/Under Full time 1.5
    Bet: O
    Odds: 1.26
  • Saturday 28. May 19:00
    Rosenborg vs Molde
    Over/Under Half time 0.5
    Bet: O
    Odds: 1.29
  • Saturday 28. May 16:00
    Lahti vs PK-35 Vantaa
    Over/Under Full time 1.5
    Bet: O
    Odds: 1.29
---------------------------
Total odds = 2.6




Ukicheza magoli sometimes ni raha sana, mkeka unakuwa umeshatick kabla game hazijaisha. Hapa anasubiriwa Rosenborg vs Molde wapata goli moja tu kipindi cha kwanza (game inaanza saa moja). Jah bless
 

Kinachokera ni kuona kuna timu kibao zinatoa 2+ au 3+ lakini ukisema uunde mkeka wa timu hata 7 tu lazima ukutane na mchawi ... daaah

hebu check 2+ na 3+ za kutosha.


upload_2016-5-28_18-50-32.png
 
Duh...mwaka wa taabu huu, Malmo ananichania mkeka wangu dak ya mwisho kabisa aisee!



Pole sana kamanda, ulimpa 2-4?
Mimi AIK vs Orebro wamechana nlikuwa nasubiri 230K. Ndumba za kanjibah ni nomaaaa
 
Pole sana kamanda, ulimpa 2-4?
Mimi AIK vs Orebro wamechana nlikuwa nasubiri 230K. Ndumba za kanjibah ni nomaaaa
Washenzi sana hawa, niliwapa under 4.5, nilitegemea nipate ya mtaji wa saa tatu..AIK niliwapa wasifungane.
 
Pole sana kamanda, ulimpa 2-4?
Mimi AIK vs Orebro wamechana nlikuwa nasubiri 230K. Ndumba za kanjibah ni nomaaaa
Hahaha...kweli huu mchezo kiboko, Rosenborg nae anafunga dak ya 1 tu ya mchezo na nliwapa wasifungane dak 1-10.
 
upload_2016-5-28_19-24-9.png


Hao wa juu yanahitajika magoli mawili na hao wa chini goli katika kila kipindi,nashangaa bado wanaangaliana tu.

Hao washambuliaji wao wanalipwa mshahara wa bure tu pumbavu zao.
 
Sigma Olomouc na aik mkeka wa team 25 wao pekee ndiyo wamechana
 
Back
Top Bottom