Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Over/Under 2.5

Over - maana yake magoli yawe ma3 na kuendelea
Under - maana yake magoli yawe ma2 na kushuka (magoli yasizidi ma2)
Buddy naomba unisaidie odds za usiku huu nijaribu kurudisha kapesa kangu
 
jaman msaada wa odds nijaribu kurudusha kapesa kangu usiku huu kama inawezekana
 
yani mkeka unaniuma sana huo. nataka kujilipua tu akaja mgeni nikaiacha pc chumbani nikaenda kuzurura. Narudi jioni muda ushaisha. daah inauma. hizi timu za saa tano usku ni mapicha picha kujilipua.
 
Attachments

Nani atakuwa next kuwa mwekundu au wa kijani kati ya hiyo mikeka miwili iliyo baki?

Hatari sana nimefukiza udi na kuweka mfupa wa nguruwe huyo mchawi atakaye jitokeza sasaitabidi tumsafirie kwa babu sumbawanga au kigoma kabisa.

hizo za other ulishawahi kukosaa, hizo ni 100% labda itokee timu yenye sifa ipige goal 3 kipnd kmoja
 
Ndio maana nazipenda unakusanya jumla ya odds 2 times 50000 sh. Laki moja mfukoni. Ila ikitokea timu yenye sifa ndo hivyo tena.
 
Ndio maana nazipenda unakusanya jumla ya odds 2 times 50000 sh. Laki moja mfukoni. Ila ikitokea timu yenye sifa ndo hivyo tena.

Kaka hata ukiweka single bet, kama hamna hamna tu ... Spezia nae ameshafanya yake ... daaaaah. Nlimpa 1X
Kuna haja ya kalikizo hapa ...
 
Jamani kabla sijalala nitasuka mikeka ya kesho, kanjibah akizipenda sana hela zangu km alivyozipenda leo nitaungana na makamanda Mtoto wa Inzi na Wa Kusoma kwenda likizo ya lazima ... eeeh, maana hakuna namna sasa!
(Nitarudi EURO...)
 
tupia na mimi ninalzie hii hela
 
Daaah yani mimi nishakua addicted na betting nisipobet cjui najiskiaje yani cku haitaisha vizuri niko tayar kuweka hata kamkeka ka jero tuu, nkishindwa kabisa naweka ka mia mbili mkeka bet alafu nausikilizia hapo cku itaisha vizurii
 
Hahahaha ...
 
Back
Top Bottom