Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
nimempa Atletico
Tuko pamoja ... and all the best ! Mi kwa leo mikeka yote nimeshachana, na Kanjibah kalala na 60K yangu ....
nimempa Atletico
Daaah yani mimi nishakua addicted na betting nisipobet cjui najiskiaje yani cku haitaisha vizuri niko tayar kuweka hata kamkeka ka jero tuu, nkishindwa kabisa naweka ka mia mbili mkeka bet alafu nausikilizia hapo cku itaisha vizurii
Naamini na mm ipo siku nitarudi lkn itakuwa ni mwendo wa single betTuko pamoja ... and all the best ! Mi kwa leo mikeka yote nimeshachana, na Kanjibah kalala na 60K yangu ....
mkuu hata mimi nilikabahatisha kale ka option ka 1Y: 2Y: niliunganisha team 5 nikaweka mia mbili asubuhi nili mpiga laki na 27. wenye kujua kuchambua mpira vizuri wajikite kwenye option hii.Wakuu kuna haka kaoption kana odd kubwa sana mkekabet nimekabahatisha sema stake ilkua ya kimaskini, wazee wa stake kubwa muwe mnajaribu hapa View attachment 351758
Ni option ina odds nyingi kweli em tufanye ushirikiano tutafute timu 4 au 5 za kesho mkuumkuu hata mimi nilikabahatisha kale ka option ka 1Y: 2Y: niliunganisha team 5 nikaweka mia mbili asubuhi nili mpiga laki na 27. wenye kujua kuchambua mpira vizuri wajikite kwenye option hii.
Wakuu kuna haka kaoption kana odd kubwa sana mkekabet nimekabahatisha sema stake ilkua ya kimaskini, wazee wa stake kubwa muwe mnajaribu hapa View attachment 351758
tupia mkeka nijue jins ya kuweka hyo optionmkuu hata mimi nilikabahatisha kale ka option ka 1Y: 2Y: niliunganisha team 5 nikaweka mia mbili asubuhi nili mpiga laki na 27. wenye kujua kuchambua mpira vizuri wajikite kwenye option hii.
Hully City
Madrid
First Half Goals 0-1.
mkuu hata mimi nilikabahatisha kale ka option ka 1Y: 2Y: niliunganisha team 5 nikaweka mia mbili asubuhi nili mpiga laki na 27. wenye kujua kuchambua mpira vizuri wajikite kwenye option hii.
1Y Home team win and both tems scoreHiyo 1Y: 2Y ina maana gani wakuu?.
Leo GG za kumwaga full kupishana na hela kudadadeki[/QUOTE
si mchezo jembe. yan ukiangalia live score amebakia Gogoy Cruz tu.Yan hela nyeupeee
[1/1]
0074 28-05 21:45:00 Real Madrid-Atletico M
Half With More Goals I > 3.29
------------------------------------------
Total: 500000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.29
Max payout: 1645000.00
Combination count: 1
------------------------------------------
27-05 13:09:57
ntazima simu kuanzia leo hii mpaka jumapili jioni.......
[1/1]
0074 28-05 21:45:00 Real Madrid-Atletico M
Half With More Goals I > 3.29
------------------------------------------
Total: 500000.00
------------------------------------------
Total odd: 3.29
Max payout: 1645000.00
Combination count: 1
------------------------------------------
27-05 13:09:57
ntazima simu kuanzia leo hii mpaka jumapili jioni.......
How?Dah mzigo umetick huu
Apo 1=2Dah mzigo umetick huu