Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

huo umechanika
1> magoli meng kipnd cha kwanz
11> magol meng kipind cha pili
1=11> magoli sawa kipnd cha pili na cha kwanza
 
Hivi mkekabet hawana option ya kudownload mkeka kwenye pdf ? Maana nashindwa kutupia mikeka ya leo . Leo ni mwendo wa magoal Norway Sweden Ireland na Brazil serie B
 
upload_2016-5-28_22-46-48.png
 
Ila mbet wahuni kweli huwa wanaweka timu ambazo zinachangamoto kubwa kupata ushindi mtu usipoumiza kichwa unashangaa unaliwa hivi hivi
 
Dah Hana Mexico wameninyima hela 2+ wangese wale wanashinda1 nyang'au kabisa.
 
sunola wacha kupoteza hela kwa timu za Asia. Wape magoli usiwape ushindi utaliwa.
 
Back
Top Bottom