Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
ANZI
CROATIA
CZECH
MORROCO
TOGO
NA WEWEE MPUMBAVU ENGLAND.... NILIKUWA NAAMKANA MILIONI 3 **** WEWE
So sad mkuuPolee sn kamanda ... [emoji17][emoji17]
HATA KWANGU PIA SIO KWAKO TUUUSijui kwanini kwangu toka jana premierbet online inanizingua,hawatoi list hata ya timu moja,sijui wameweka mpira kwapani!?
wanazingua nimeamua ku withdraw tu Akiba iliyokuwemo hukoNaona premier betting hawajatuwekea match kabisa
Nijuavyo mimi kiasi kikubwa cha kushinda sijui ni 50mil.kias cha juu kuweka sijajua labda uje uweke stake ya mil 5 ikikubali urudishe majibu hapaanayefahamu anisaidie haya... kuusu premier bet
1.kiasi cha juu cha stake ktk mkeka
2.kias cha juu cha kushinda kwa mkekaa
ninachojuajua timu nyng ktk mkeka mmoja ni 21
Wanzingua kinyamawanazingua nimeamua ku withdraw tu Akiba iliyokuwemo huko
na hawatoi taarifa yoyote kama wanafanya marekebisho ama laaWanzingua kinyama