nimekuelewaHuwa naangalia kwenye application ya Flashscore inaonyesha live score zote. Download huichek nadhani utaipenda
Hapo poa mdau.View attachment 352410
Hapo vipi?
unajaza code ya nchi ambayo ni +255Kwenye postcode meridianbet unajaza nini?msaada tafadhali
Ivi naweza nikabadili nmba yangu niliyo regist nayo meridian bet nikaweka nyingine au inakuaje wakuuu msaada plz
Poa sana mkuuUnaenda sehem ya " My Accouny" una edit namba ya simu na Details zingine, if you want.
Inawezekana kweli mkuu? Mana mm hio lain nlofungulia nayo imepotea hivyo nami nlitaka kama ingewezekana niedit niweke nyingine vp itawezekana?Unaenda sehem ya " My Accouny" una edit namba ya simu na Details zingine, if you want.
Yeap unabadilisha tu haisumbui walaInawezekana kweli mkuu? Mana mm hio lain nlofungulia nayo imepotea hivyo nami nlitaka kama ingewezekana niedit niweke nyingine vp itawezekana?
Inawezekana kweli mkuu? Mana mm hio lain nlofungulia nayo imepotea hivyo nami nlitaka kama ingewezekana niedit niweke nyingine vp itawezekana?
Duh..mwaka wa taabu huu, Nigeria keshafanya yake.Hapa nimeyabinya ile mbaya, naona Nigeria kaanza sifa..
Duh!pole bhana jamaa wepata goli dk ya 90Hapa nimeyabinya ile mbaya, naona Nigeria kaanza sifa..
Hahaha...mkeka wameshachana hao Nigeria, wamefungana goli mbili dak ya mwisho ya mchezo.Jiandae kula pesa hapa. Hongera in advanve