Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Premier bet kwangu muda wa mechi kuanza sio sahihi. Uko mbele kama saa tatu. Je hakuna namna ya kuset?
 
Wadau njoeni huku mbona mtaji unapatikana, achaneni na mpira huko kila siku mtakuwa mnapasuka.
c804a329fc5c28b6d3a9463338006995.jpg
 
Kaka tuko tayari kukufuata ila wageni upande huo. Tupe shule please
Ata mm sio mzoefu sna wa Basket ila nachofanya napitia Head 2 Head zao, afu mostly naweka total points over.
Kwa kwel hayo ndio matunda yake. [emoji39]
 
Back
Top Bottom