mkono wa nyoka
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 334
- 54
hapo ni kuchambua mech ambazo washambuliaj wake wapo vizur sana yyaYap,kama AFC WEMBLEDON VS PLYMOUTH,gg odd 1.9
hapo ni kuchambua mech ambazo washambuliaj wake wapo vizur sana yyaYap,kama AFC WEMBLEDON VS PLYMOUTH,gg odd 1.9
Wakuu kampun ya premier wapo vizuri au wapo vibaya wanacho nifanyia cy kizuri nime toa hela tarehe 24 mpaka leo cjapata halali kweli
Nilijalibu kuwasiliana nao wakaniambia watawadiliana na makao makuu landan
Asante kwa ushauri Chief, huo nimeutupia tyr na stake ndogo. Nataka nitafute odds 2 nitupia kilo, nmeshachoka kuliwa daily.
Umeweka zip buddy
Hahahaha ... kaka safi sn. Kwa kwl leo umenipa bonge moja la idea ... kwa style hii kuchana mkeka ni ngumu sn. Kaka nakufuata kuanzia kesho. Hakika kuanzia asbh mpk jioni unauhakika wa kuodoka na 30K
Chief nimeweka Sweden & France nmewapa ushindi wa kawaida. Ila roho ilikuwa inasita sn kwa Sweden ... nawasiwasi nae sn
Poa mkuuEbu wapigie tena, usichoko kuwasumbua.
Wadau msaada wenu nijilipue buku saba. timu mbili ambazo zitafungana.
#HATUKOMI.
mkekabet za iceland hawajawekaCheki timu za Iceland mkuu
Cheki timu za Iceland mkuu