mr q hivi ukaweka under 2.5 afu wakatoka 3 bet loss or bet won?hizo zote zimetoa
mr q hivi ukaweka under 2.5 afu wakatoka 3 bet loss or bet won?hizo zote zimetoa
under 2.5 ikitoka 3 kamili bet loss or bet won?
under 2.5 ikitoka 3 kamili bet loss or bet won?
tafsir yke ni chini ya 2.5 apayo makadilio yake n chini ya tatu sasa nachouliza kwamba inatakiwa kuwa kuanzia tatu kushuka chini au mbili kushuka?Tims, kwani neno "under 2.5" ww unalielewaje, yani tafsiri ya kiswahili.
"under 2.5" = "chini ya 2.5" ... sasa km matokeo yamekuwa na magoli ma3 na kuendelea hiyo ni chini ya 2.5 au zaidi? Jibu nafkiri unalo.
aah bet loss nyingineeeeUnder 2.5 maana magori yasifike 3,
tafsir yke ni chini ya 2.5 apayo makadilio yake n chini ya tatu sasa nachouliza kwamba inatakiwa kuwa kuanzia tatu kushuka chini au mbili kushuka?
ha ha ha hatari sana ila bado nafasi unayo ya kujaribu kwasbabu hela za kanjibajh ,mzungu zipo kwa wale tyu wanaobet....Pole mie hata sina ham tena ya kubet
sawa mkuu leo ni kuuguza maumivu ya janaTims, magoli yakishafika matatu ina maani ni Over 2.5 (Juu ya 2.5) na sio Under 2.5
Aisee we Buddy kiboko. Inaonekana ukipunguza timu utakula mara nyingi aisee. Mimi nikiweka over 2.5 hata timu tatu lazima nilie. Labda kidogo option inayotoa kwangu over 1.5