Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,955
- 2,489
Pole sana. Hata mimi napigwa sema sikomi. Nikiweka mkeka wa odd 2.5 au pungufu ndio nakula. Lakni nikiweka timu nyingi lazima atokee mchawi. Yaani sijawahi kula laki kwa mia tano kabisa.Chief alichokifanya huyo IFK Norrkoping (vs Elfsberg) na Germany kwenye mikeka yangu mi3 ni ukatili usiosahaulika. Nilikosa laki 3, laki 9 na m2. Hakika mpk dk hii Kanjibah ameshinda vita, lkn hatutaacha kujitetea ... #Hatukomi.
Jana tena kalala na 10 langu ... daaah