Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

tims kama una elfu 10 chagua timu tatu kati ya hizo then jilipue both to score.
ITALY
PORTUGAL
NEW YORK CITY
VITORIA
SAO PAULO

ukitafuta mshindi hapo umeliwa, cheza wote wapate magoli. fin
 
1464546290460.jpg

Usiku huu natoka hivi
 
Nimeomba msaada humu namna ya kudeposit Salio kwa tigo pesa, premiere betting lakini sikupata msaada.
Nisaidieni haraka tafadharini
 
Nimeomba msaada humu namna ya kudeposit Salio kwa tigo pesa, premiere betting lakini sikupata msaada.
Nisaidieni haraka tafadharini
nadhani ni kama hatua za kudeposit kwa kutumia vodacom click depositi then tigo kisha endelea na hiyo ni baada ya kuwa umelog in coz namba ya kumbukumbu wanakupa wao wenyewe
 
Nimeomba msaada humu namna ya kudeposit Salio kwa tigo pesa, premiere betting lakini sikupata msaada.
Nisaidieni haraka tafadharini
Unaingia kwenye deposit ndan ya premier,.. ukishaimgia utaweka salio unalodeposit then utaconfirm utapewa namba ya muhamala.

Kisha utaenda kwa sim na kupiga *150*01# then 4 kwa kulipia bil then 3 af unaingiza namba ya kampun (500700) kisha utaingiza namba ya siri

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo option tatizo ina odds ndogo ndogo mno. Ukiweka 10.000 unakula 2000 bado risk ya kuliwa iko pale pale japokuwa sio kubwa.

Odds ndogo ndio hela hio..weka mechi 21 weka stake kubwa utamburuza kanjibai kila siku probability ya kuliwa kwa hio option ni ndogo sana mfano leo genk ndio kaniharibia.
 
Odds ndogo ndio hela hio..weka mechi 21 weka stake kubwa utamburuza kanjibai kila siku probability ya kuliwa kwa hio option ni ndogo sana mfano leo genk ndio kaniharibia.
Unaona mkuu unapoweka timu nyingi uwezekano wa kuliwa ni mkubwa. Ona sasa kama Genk walivyokuharibia. It means ukiliwa mara moja utaweza kurudisha pesa baada ya hata michezo kumi ya kushinda. Hauoni ni hasara? Bora uweke timu moja au mbili ambazo uhakika ni mkubwa.
 
hizo zote zimetoa
 
Attachments

  • Screenshot_2016-05-30-05-23-13.png
    Screenshot_2016-05-30-05-23-13.png
    37.6 KB · Views: 36
Nimeamka hivi.
BKV Narrtalje Win
FH Hafnarjordar Win
Spartak Nalchik Win

Odds 2.58
 
Back
Top Bottom