Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo





Zikipigwa goli mbili mfululizo itakuwa bet lost less than that itakuwa won.
 
Unaenda sehem ya " My Accouny" una edit namba ya simu na Details zingine, if you want.
Hivi unaweza kuedit jina kwenye Meridian. Wanasumbua kutuma pesa kwa kigezo Jina la Meridian acc ni tofauti na jina la mpesa. Msaada hapo
 
Mkeka wakwanza Gangwon fc over 2.5, anyang fc over 2.5, new Caledonia over 2.5. Mkeka wa pili gangwon fc both to score, fc anyang both to score, Soul e land both to score. Mungu baba hakika hii ni kazi ya mikono yako. Naomba ubariki mikeka hii.
 
Vipi hapa wakuu!
Spain/south Korea
=Spain win
Norway/iceland
=Norway
Estonia/Andora
=Estonia
Rusia/Crech r
=Rusia
Belgium/Finland
=Belgium
Vipi niondoe nani au nipige zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…