Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbinu yangu mpya ya Beting, ni kuweka high stakes kwenye mechi za uhakika kama za CAF champions leauge( Hapa nimemla mhindi laki 4 ndani ya wiki 2)
Kisha hiyo laki nne ndio inakuwa mtaji kwenye mechi za ligi ambapo naweka dau la elfu tatu au elfu tano

Screenshot_20230305-092139.png
 
Ila kubetia treni ina itaji kichwa cha uwenda wazimu nme choka kujifariji na timu moja au mbili kuharibu out of 30 ni bora niweke timu 2 au 3 kwa stake kubwa[emoji81][emoji81][emoji81]
Kanji sia analoga iharibu timu moja tuu🤣🤣
 
Ila kubetia treni ina itaji kichwa cha uwenda wazimu nme choka kujifariji na timu moja au mbili kuharibu out of 30 ni bora niweke timu 2 au 3 kwa stake kubwa[emoji81][emoji81][emoji81]
Katika zile mbili unazochukua na ya kuchana unajikuta umeiweka kwenye hizo timu mbili,,, betting ni uchizi kama huna pepo la pesa
 
Ndugu wazee pamoja na kwamba jana ailikuwa siku nzuri, leo nayo ni siku.
No. 1: Odds 6.2
1677999511568.png
 
KAMA UNA MTAJI NJOO TUPIGE PESA MI NATOA ODDS WE UNATOA PESA SINA UCHAWI ILA KUBET NAJUA KWA ASILIMIA ZA KUTOSHA
 
Hii ligi kuu ya marekani MLS imenitendea wema leo vimeo viwili vimekubali amebaki bundi mmoja jeonbuk hyundai motors....ngoja nikatafute vitafunwa kabisa nipashe tumbo joto kabla mkeka haujachanika nikaiona chai imekua shubiri,bundi huwa achelewi kuachafua hali ya hewa
Na kweli ni bundi ulijuaje?!! Kama ulimpa DC hongera maana kitu 1:1 ft
 
Back
Top Bottom