Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

A6EE246 [emoji462]

D807A11 [emoji462]

96CD0F6 [emoji459]

E0DD5CB [emoji459]

Edit edit sportybet
Hivi kwanini app ya sportbet kwangu inakuwa inazingua mara kwa mara.
Yani unakuta kuna muda haitaki kabisa kufunguka.
Mnaweza mkawa mnafahamu?
 
Jamvi hili sijui aliliweka nani, nikaruka nalo kiuoga plus sikuwa na hela nikajikuta nimeweka shilingi 10.
Yani kuanzia sasa kila treni nyaweka kuanzia buku kulingana na ukubwa wa odds.
Limetiki bwana, mdau popote ulipo barikiwa sana.
Nauheshimu sana muda wako ulioutumia kuchambua odds na kupata kitu cha kutumia pamoja nasi. Barikiwa sana popote ulipo.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sasa ukute una mkeka wa odd 10 ukaweka 5000 umechanikaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakamalia wenzang nimekwam mweny buku anisaidie jaman niwez kustak tumpig kanji ndug zang 0688272847,,,,,,Betpawa natumia
Kuomba hela ya kubet Tena kwa watu ambao huwajui ni ujinga.
Yaani unaomba hela unaenda kumpa bilionea Kanji.
Sio lazima kubet,usipobet huwezi kufa.
Kipato kidogo upatacho wekeza kwenye vitu vingine kama kula sio kumpa muhindi.
 
Ushauri mzuri sana auzingatie, vinginevyo ataanza uza vitu ili abeti 500 apate Milioni
 
Back
Top Bottom