Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yan mechi hazijaanza lakini kanji kani-offer cash out inayozidi stake
Kashaona anaenda kupasuka nini?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa muongo
 
Leo ni mwendo wa magoli tu, Az Alkmaar dk 15 Tyr magoli 2, Fiorentina maybe katanguliwa goli moja dakika ya 10
 
[emoji1787][emoji1787] kibwengo ss unataka nithibitishe kwamba ni kweli wakala wa kanj au sio wakala.

Wapuuze hao jiandae kesho nakuja kitu Cha [emoji91] lazima kanj ateme ndoano [emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji1] sasa mkamalia idd kesho kutwa Kwa hali hii kanji atatoa mkono wa idd kwel
 
Jamani mi mgeni kidogo kwenye kubet,nauliza 0.5 inamaana gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…